Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Magaidi wa ukweli wanaotishia usalama na uhuru kaakazini mwa Msumbiji na kusini mwa Tanzania. Sidhani kama wataongea mambo ya aibu ya uchaguzi mkuu 2020 kwa maana ya kushiriki kwao au kufanyishwa usafi kila mara CHADEMA wakitaka kufanya matembezi au wao kufanya usafi. Pengine sasa wanatangaza henceforth watafanya kazi zilizoainishwa na JWTZ. Tunachoomba usalama wa mipaka yetu.
Haya ni Matangazo ya kawaida ya kiutendaji na utawala wa jeshi hutangazwa na CDF, Dont worry. Ingawaje Hili ni tangazo maalum kwa lugha za kijeshi. Kama ingekuwa ni Tangazo la kuingia vitani lingetangazwa na Amiri Jeshi Mkuu mwenyewe. Hivyo tulieni. Acheni wasiwasi chapeni kazi.
 
Wakati wa JK TISS walikuwa wanafanya mikutano na waandishi wa habari wanajibu hoja za upinzani.
Vipi, hii itakuwa ni mara yao ya kwanza katika miaka 60?

Binafsi sijawahi sikia tangazo kama hilo toka kwa watu hao. Nyakati zinabadilika sana.
 
Back
Top Bottom