what i know nina sifa so hata wasiponitoa kwenye short list mimi nitakwenda tu kwenye usail!!!
Hahahahaha mdau we ni noma utaenda kuona wenzako wanavyo wekwa katika ulaji hhah haya bhana
Muache aende akaumize roho watari wenzake tunajiandaa kwenda moshi
Nimeamini ukisema cha nini wengine wanasema ntakipata lini. Wakati wengine wakipost na kuiponda kazi ya polisi wengine wanauliza na kufuatilia kila siku kujua lini watajiunga na jeshi la polisi. But all in all wote tulifanya maombi na kukidhi vigezo vyote tuwe na subira naamini ni muda mfupi tu kuanzia sasa. Tutakaobahatika kuchaguliwa tutashukuru na vilevile ambao hatutabahatika ni mwendelezo wa fighting mpaka kitaeleweka.
asee nyie guys mcseme c wengine tumetokea j.k.t tupo tunasugua bench kuwasikilizia jamaa bt mcjari soon tunasepa kulikuwa na coplo course ndo inayochelewesha bt inakaribia kuisha soon tunachapa rapaaaa
Nimeamini ukisema cha nini wengine wanasema ntakipata lini. Wakati wengine wakipost na kuiponda kazi ya polisi wengine wanauliza na kufuatilia kila siku kujua lini watajiunga na jeshi la polisi. But all in all wote tulifanya maombi na kukidhi vigezo vyote tuwe na subira naamini ni muda mfupi tu kuanzia sasa. Tutakaobahatika kuchaguliwa tutashukuru na vilevile ambao hatutabahatika ni mwendelezo wa fighting mpaka kitaeleweka.
yaan wapo chuoni had saiz? au nao wanafanyiwa wanafanyiwa usail had sasa? afu vp mkuu nliskia kuwa nyiwe wa jkt mlifanyiwa usail uko uko?
daaaa hata mie nliomba yani hpa presure tu
Cool down Granta this n next week will tell..