Duuuuuh
Ni shida.a.a.a,
Mkuu anatudanganya kweli kweli
Wameenda lini? toa ufafanuz watu wakuelewe mkuu jamaa yuko serious na swal lake! au waliita kimyakimya? Hao 2013/14 wapo kazin now, tunaozungumzia ni 2014/15 usail ulikua lin maana hata hawa wa 4 na 6 waliofanya usail bado awajaita mpaka sasa! natanguliza shukran kusubil maelezo zaid toka kwako
bado hawajaenda na mikoa mingine hawaja malza usahili.
usaili wa form 4 na 6 uliisha ktambo ndugu tarehe 11 mwez huu!!
Kama mafunzo huanza mwezi wa 11 na usaili utafanywa kwa mda gani au watakao kua shot listed wataanza bila kusailiwa
Majina yametoka leo 29/10/2014 ,,source web yao
waombaji wengi hawajui lakini ukweli ni kwamba this time wanafanya follow-up ya hali ya juu ili kupata the best watakaochaguliwa, kwa maneno mengine wanafanya upekuzi mpaka chuoni ulikosoma!
Majina yametoka leo 29/10/2014 ,,source web yao
Kama kweli wanafanya hivyoo basiii wataenda best kwelii wameanza kama usalama wa taifa na wao safi sana mimi najua nitapata tuu
Majina yametoka leo 29/10/2014 ,,source web yao
duh! sa kama ndo ivo ufuatiliaj had chuon na walioomba n wengi, in that sense short list itatoka baada ya miaka miwili au mitatu kabisaaa!