hv wadau vile vgezo hawawez waka EDIT maana nahc tulioomba ni wengi! Km hawata edit basi goliati mtanikuta CCP maana nishaanza mdogomdogo kuelekea dar
we mdada (WP mtarajiwa) ulisoma degree gani chuo?
niko songea! Nilipga sociology(upper second 4.1)
hongera sana nakutakia kila la heri i hope one day we will be together na uwezekano wa kuwa afisa upelelezi ni mkubwa sana
Mtangulize Mungu pia mambo yaende sawa, they really encourage women.
na mimi wa psychology nitakua na huyu kaschana nadhan depertment moja na yeye chamsingi tukiitwa isaili na yeye tupeane namba za simu tu kutashirikiane huko CCP
Kimya kingi..Ila wamechelewa sana kutoa hayo majina, kmya kimezidi.
Kimya kingi..
Kinamshndo mkubwa.
Kuwa mpole..
Na si unajua anayecheka mwish6 ndiye anayecheka sana...
Aisee duh yan mpaka sasa, kweli za mvumilivu mbivu.... nyoshen mikono tulioomba
At least Wange-release matokeo ya usaili kwa form4 & 6 ingelikuwa inatia moyo kuwa hata bachelor na diploma i karibuni kuitwa kwa usaili, hali hii inatisha kimya hiki sijui
Pengne wanataka watoe yote kwa pamoja maana mazoez c tunaanza pamoja!
"mnaanza" pamoja ushaambiwa utapata nafasi?
hiyo n spiritual confidence ndugu!
"mnaanza" pamoja kwani ushaambiwa utapata nafasi? Na kama yes tuambie nani kakwambia nyie ndo mnataka kulichafua jeshi!
Madogo wa mwaka huu sijui vipi, wako na mbwembwe na mizuka ya ajabu ajabu tu, hawajui kila kitu kina taratibu zake na wapo wengi wanatakiwa wachache. Wanachodhani wao mtu ukiwa na kibachelor chako waingia tu huku kama shambani kwa mke wa babu.
Simply, wamechoka kuishi kitaa
Na bila hiyo spirit tungeshakata tamaa kwenye mambo mengi sana...!
Simply, wamechoka kuishi kitaa