Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

Status
Not open for further replies.
hahaha spiritual confdence!! Jeshn mnatakiwa watu km nyie! Tutakutana ccp ndugu tuombe uzma na kuchunga afya

Yaah ila mimi natamani sana kazi za kiupelelezi aisee mana vile TISS.CID anu MI sasa kuzipata ndo tatzo ngoja tu tuingie police maana vigezo nadhan nimekidhi aises mana umri shule nk sawa ila kama USALAMA WA TAIFA WANAPITA hapa wangenisikia kilio changu hahahahaha
 
CID niki tengo ndani ya jeshi lapolice kama ukiingia police ukapigana kupelekwa huko fresh
 
Hivi hakuna insider hata mmoja anaejua akatujulisha kipi hasa kinachelewesha...?
 
Acheni haraka, last year waliondoka November 12
 
mwaka jana majina yalitoka tar 30 mwez wa kumi, usail ulianza tar 11 mwez 11 ulimalizika tar 15 wakapewa cku kama nne za kujiandaa then tar 19 mwez huohuo wakawa wanaondoka! dar to ccp, fwatilia thread za mwaka jana zimo humhum jf.
 
Oooh!!! Thread, !!??
 
It's 4&6, this gonna be professional, don't u c a difference!!!??

Mwaka jana siku kama ya leo majina kwa ajili ya Usaili yalishatolewa...! Usaili ukaanza tar 11-15/Nov...!

Kwa form 4&6 waliofaulu usaili majina yao yalitoka tar18 Oct 2013, ukilinganisha na mwaka huu ni kama week 2 zimechelewa huku hakuna taarifa ya kutoa hayo majina...!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom