Tangazo Kuitwa Usaili Jeshi La Polisi 2025

Tangazo Kuitwa Usaili Jeshi La Polisi 2025

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,738
Reaction score
42,832
Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.Ili kusoma majina ya walioitwa kwenye Usaili tumia kiunganishi hiki Jeshi la Polisi Tanzania

snapins-ai_3616659902822933433.jpg
 
Mnaajiriwa mkasaidie uchaguzi sasa..!!
Hii nchi bwana ina vituko sana, hapo wanapunguzwa wapiga kura wanaongezwa wabeba mabox ya kura na wapiga mabomu ya machozi..!! Pitty 😥
 
Halafu anatokea mpuuzi mmoja anakuambia Samia hafai,,
Ebu tuonyesheni magufuli alitoa ajira yoyote nyie mnaemponda mama wa watu? Watz hawana shukurani kabisa kabisa
 
Katiba ibadilishwe Samia aongoze mpaka nchi uchumi utakapokaa sawa. ...
 
Back
Top Bottom