Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

Status
Not open for further replies.
"mnaanza" pamoja kwani ushaambiwa utapata nafasi? Na kama yes tuambie nani kakwambia nyie ndo mnataka kulichafua jeshi!

pungza jazba taratibu kwan ulipokimbilia ni mbal michosho ni utakapofkiria kurud!! hakuna binadam anayejua kesho yake na kama cku zote umeshazoea kupelekeshwa uwez kamwe kuijua haki yako! NAMWAMINI MUNGU WANGU NA NDO MAANA NIMEFIKA HAD HAPA NILIPO, WAKUMUOGOPA HAPA DUNIANI NI MUNGU TU, KWA KUTOTENDA MAOVU!! NA UKIZOEA KUFANYA KITU KWA BAHATISHA BAHATISHA HATA MAISHA YATAKUA YAKUBAHATISHA THAT IS WHY THE WORLD IS FAIR BUT THE PEOPLE ARE NOT FAIR AT ALL. mabroo hakuna aliyejinad hapa na barchelor zaid tu yakupeana upadates yanayoendelea , je unajua kua jkt walishafanyiwa usail makambin? nanukuu niliposema tutaanza pamoja kuwa mwelewa haitaj ushkiwe bunduk ka somalia Vilevile kitu chochote bila mzuka uwez kukifanya broo ivyo mzuka ni wamuhimu sana hasa kwa soldier ndo maana wanajesh wamerekan walifurai sana kwenda iraq ule wote ni mzuka.... MSIISHI KWA KUKARIRI MAMBO HUBADILIKA HAIKUA SHERIA KWAMBA KWA KUWA MWAKA JANA WALIFANYA VILE BAS MWAKA HUU ITAONGEZEKA BALI JIBU WANALO WENYEWE.. NA hii ni JF TUPO HAPA KWA KUFARIJIANA ANGALAU MAISHA YAENDE NA USHAURI WENU ULIKUA WA MUHIMU SANA.. farewell!!
 
Kwa hiyo huko vyuoni mlifundishwa mkichoka kitaa huku ndio sehemu ya kuja kupumzika na kula raha? Umechoka kitaa kapumzike jela.. Wadogo zangu mtakaobahatika kuipata heshima hii, ni kazi ya wito hii na si rahisi. Kama unakuja huku simply bcoz huna mchongo ACHA.

Watu wanachotaka ni kujua hatma ya maombi yao, na kitu chochote unachosubiria ni lazima utakuwa na mzuka nacho...! Kuleta kejeli hapa wala haitasaidia
 
Hata hastahili kujibiwa wa kirefu hivyo
 
Kwa hiyo huko vyuoni mlifundishwa mkichoka kitaa huku ndio sehemu ya kuja kupumzika na kula raha? Umechoka kitaa kapumzike jela.. Wadogo zangu mtakaobahatika kuipata heshima hii, ni kazi ya wito hii na si rahisi. Kama unakuja huku simply bcoz huna mchongo ACHA.

Kwa iyo wewe unataka nin sasa! tangazo lenyewe lilikua linawataka ambao hawana mchongo ndo maana madogo wakaomba! ACHA KUTISHA WATU, SAMPULI YENU NYIE NDO MNAO CHAFUA JESHI... INABID UFUKUZWE WEWE
 
Watu wanachotaka ni kujua hatma ya maombi yao, na kitu chochote unachosubiria ni lazima utakuwa na mzuka nacho...! Kuleta kejeli hapa wala haitasaidia

Huwezi kujua hatma yako kwa kufosi sasa, muajiri ndio anajua mipango yake na uhitaji wake wa rasilimali. Iweje wewe ndio uwe na haraka kumzidi. Tulieni kusota bado kupo sana tu.
 
Amefosiwa nani hapa..! We mbulumundu kweli kula kona mzee
 
Kwa iyo wewe unataka nin sasa! tangazo lenyewe lilikua linawataka ambao hawana mchongo ndo maana madogo wakaomba! ACHA KUTISHA WATU, SAMPULI YENU NYIE NDO MNAO CHAFUA JESHI... INABID UFUKUZWE WEWE

Huna lolote ulijualo, wacha waambiwe kilichopo. We kinakuuma nini? Mara oo kama umezoea command sijui ni wewe. Hivi ni jeshi la babaako lisiloendeshwa kwa command? Ukishabwia unga sio lazima utoe mawazo yako kwenye kila kitu. Watu wanaongea walicho experience sio ubishi for the sake of ubishani. Matusi peleka kwenye ubishi wa vijiwe vya kahawa, sio kwenye usivyojua.
 
Acha kujibu, hiyo ni sample ya mapuuzi tu akili nusu yaliyojaa humu .
 
Kuna watu wana miaka 10, kitu msichojua ni kwamba vikauli kauli vyenu hivi kwenye mitandao ndio huwa vinainfluence mchakato time zingine na kusababisha uwe mgumu zaidi, hakuna mnene huko juu atakaye kumwaga unga.

Mkuu umenifanya nicheke saana ila ulichokisema ni ukweli mtupu, nimeshagundua vigogo serikalin wanafatilia sana kauli za wadau humu jamii forums na huu mtandao wanautumia kupima upepo ukoje wakiona mambo hayakubaliki wanakanusha. Kwa mfano zile nafasi za jkt zilizokuwa zmetangazwa humu na lile sakata la Diamond kupewa udokta wa heshima, hayo yote nahisi yalikuwa yamepangwa kweli na wakaamua kuyaleta humu ili kupima upepo wa wananchi walipoona watu hawajakubaliana na hayo masuala wakakanusha. That's my point of view.
 
Msifikiri yanafika kwenye vyombo hivyo bila kufikishwa ndugu yangu bere in your mind asante sana vijna msiwe na wasi kama ipo ipo tu tuwe na subira asiwatishe mtu hili jeshi si la Mtu ni la Watanzania wote hakuna haja ya hayo yote yaliyotekea hapo juu kwenye mjadara wenu asanten
 
Dada mnyamaka na mwenzio fairatu nenden kwa jukwa la umbea uku NI masoldier TU!
 
Daaaaah!! Nimetiririka na page kama 3 hivi ktk uzi huu naona imekua corner ya mipasho na kunyambuana Wadau let's be cool tupeane info zenye tija kama huna taarifa subiri u verify za wenzako haina maaana kukatishana tamaa wala kuzodoana pamoja wadau
 
Huna lolote ulijualo, wacha waambiwe kilichopo. We kinakuuma nini? Mara oo kama umezoea command sijui ni wewe. Hivi ni jeshi la babaako lisiloendeshwa kwa command? Ukishabwia unga sio lazima utoe mawazo yako kwenye kila kitu. Watu wanaongea walicho experience sio ubishi for the sake of ubishani. Matusi peleka kwenye ubishi wa vijiwe vya kahawa, sio kwenye usivyojua.

wewe ni kanjanja tu wa mtaani tu na you do not deserve to be in the post that you are assuming to be, P.O humu ni kina sir lugoje nk. sasa kama huna cha kuandika si vibaya ukikaa kimya kuonesha wewe ni darasa la saba C. waache wenye elimu zao sina mengi because am with layman so even if I' ll ask you about force you don't have an answer
 
Hayo matusi kayatoe na kwenye usaili yatakuwa added advantage. Na mungu unayemtumikia atakubariki.

nikuulize maswali utanijibu you are pretending that you are a policeman? failure to do so can be a risk to you....
 
Kwa wale wanaoponda kazi hii,nasema hivii maombi tumeshatuma na tunasubiri usaili kwa hamu kubwa na haturudi nyuma kwa kejeli zenu tutaenda tu mafunzoni bila kujali misemo ya kukatishana tamaa.Over!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom