Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

Status
Not open for further replies.
Idadi ya form iv/vi na JKT waliochukuliwa ni kama 2308 hivi, je kwa mwenye uzoefu na hawa jamaa, huwa kwa mwaka wanachukua candidates wangapi? I just want to know the chance that graduates have!
 
napata picha ya ukubwa wa tatzo la ajira nchini, tujitahd kua investers jaman badala ya kutokwa mate na ajira za srkl
 
Mkuu, najua kile unachomaanisha lakini hujui kuwa wengi ya wanaotafuta ajira ni kuwa hawana mtaji kabisa wa kuanzisha biashara...! Mi nilaumu mtu mwenye kazi na akashindwa kuwekeza...

Hawa graduate almost wamefulia hivyo pamoja na kuwapa ushauri wa ujasiriamali lakini huwezi kujikausha na kufumba macho juu ya ukosefu wa mitaji...! Pamoja sana
 
Wadau hebu tupeane darsa kuna friend wangu amenitext kuwa ,nimeulizia Formula Ya Polisi Kujiunga Nao Kwa Wenye Profetion ya Degree.Nimeambiwa Kwanza Kozi Miezi 9 Unakua Constable Unafanya Kazi Miaka 3 Kupata Uzoefu Kisha Unaenda Kozi Miezi 6 Unapata Nyota Moja. Nikitathimini Sawa Na Miaka 5 Hujaenda Shule Tena. Sasa hapo miaka mitatu lindo au uzoefu ktk kitengo chako!!!??
 
Miezi 9-10 hiyo ni sawa, but kufanya kazi miaka mi3 ndio ukasome kwa ajili ya * sidhani, ninachokijua ni pale wanapokuwa na hitaji na prof kadhaa mnachaguliwa/mnaomba then mnapiga kozi(ni kama miezi mi3) halafu unatunukiwa nyota
 
I see naona mzunguko huo jamaa alionambia hataree
 
kama ushapata hvii duuu!!,vijana mnamambo sana!!

Sina maana nitapata au nimepata hio ni assumption kwa wewe utakae pata ila hope SWOT Analysis ipo kidogo ktk brain yako baas utakua umenielewa saana mdau kama huna hicho kitu I see ni sheedah...
 
Achana naye huyo hater
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom