Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

Status
Not open for further replies.
nikuulize maswali utanijibu you are pretending that you are a policeman? failure to do so can be a risk to you....

Hakuna haja ya kufka huko Ejay kama anajua hii force ni yeye watu wanajua watu wa kuwauliza humu ndan yani mfano mimi najua kabsaa Sir Lujoge na Ejay ndo ma P.o wanaoweza kutoa msaada wa hii force kwa hapa Jf wengine kajanja sana sasa hakuna haja ya kumhoji hayo yote maana akikosea maswali utakayo muuliza mtaanza kudeal nayr mpak mmpate kwa cyber crime hahahaha achana naye bana
 
Kwa wale wanaoponda kazi hii,nasema hivii maombi tumeshatuma na tunasubiri usaili kwa hamu kubwa na haturudi nyuma kwa kejeli zenu tutaenda tu mafunzoni bila kujali misemo ya kukatishana tamaa.Over!!

Ni kazi nzuri sana. Vip unasubiri usaili au kuitwa kuingia depo…?
 
Jaman eee mi naona watu wana ham sana ya kutaka kujua nini kinaendelea kuhusiana na maombi yao! Cha maana mwenye ubavu ampandie hewani msemaji wa jeshi la polisi SSP Advera Senso kwa namba hizi 0758 009 861 labda anaeza akasaidia! Mi kwa kweli naogopaaaa ka kuna mwenye ubavu apige!
 
Kamanda usiogope fanya kumbeep tu then ongea naye
 
Akuuuu! We unataka niondolewe kwenye "shortlisted candidates" eehh?

Hahahahaaa atakujibu kisaikolojia kwa kukwambia yani wewe kujana safi sana unaonekana mchapa kazi na shupavu na tunaitaji kama wewe ebu niambie jina lako sahihi nikuweke kwenye roster ya potential candidents maana unania kweli na wewe kwa mbembwee aaah mama mimi ni .............hahahahaha kesho haumo hahahaha noma kweli jaman JF raha sana
 
mnh! et wakuu, ni kweli kwamba graduates wanaohitajika jeshi la polisi ni 200 Tz nzima?
 
mi nadhan 200 tunaweka ni probability kulingana na idadi iliyochukuliwa mwaka jana, sidhan kama kuna ambaye atakua anajua zaid ya wao wenyewe, wangekua wametoa ya 4&6 afu tukakompea na mwaka jana nafkir hapo tungeweza kuguess exactly no they need this year
 
Pamoja na kuwa ni possibility kuwa they select around 200, nataka niulize ikiwa watakuwa wamechagua hao 200th je hiyo itakuwa ni idadi kubwa sana au ndogo sana ukilinganisha na vile tumeona idadi ya watu walioapply...!
 
tumeomba zaid ya 1000 ndo ujiuleze ndogo au kubwaa??
 
tumeomba zaid ya 1000 ndo ujiuleze ndogo au kubwaa??

Kama idadi ya walioomba haizidi 2000, then hiyo kuchukua 200 ni idadi kubwa sana...!

Nilifikiri walioomba wanazidi hata 5000
 
Kuna onekana rahisi huko,mbooa atuoni mishe mishe uku!
 
Wadau munkari upungue sasa maana website ya polisi imesha achia utaratibu na majina ya form six na four jumlisha j.k.t walioomba daah reporting 30.11.2014 CCP moshi hatare saana hope soon na sie wataachia tujue hatma zetu Onelove wadau.
 
Dah ongera aisee, reporting tar 28 , 30 safari ya kwenda ccp.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom