Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

Status
Not open for further replies.
Taarifa ya polisi tar kama ya leo mwaka jana ilitoa majina ya professional kwa ajili ya usaili, jamii kakurahishia u-search hapa JF hiyo taarifa ya ya polisi ilikuwepo...! Kipi usichoelewa au unajijaza ubwege
 
May be,!!? Coz we ndo umesema according to threads and not officially police information... Who is crazy now. Teh - Teh Teh

elewa ninaposema thread , namaanisha la tangazo la police oficialy lilijadiliwa humuhumu jf unaweza ukalilipitia mana kwenye website yao uwez kulikuta! so kuwa mwelewa mavacado!!
 
Taarifa ya polisi tar kama ya leo mwaka jana ilitoa majina ya professional kwa ajili ya usaili, jamii kakurahishia u-search hapa JF hiyo taarifa ya ya polisi ilikuwepo...! Kipi usichoelewa au unajijaza ubwege

Ha ha ha achana naye uyo....
 
Mi nafkir meng unaanza kuyajua ukiingia uko uko afu na course uliyosomea pia nayo yaweza matter kwamba kitengo gan waweza kwenda

Mimi nimesoma bed psychology sasa sijui kama naweza fikiriwa napenda kazi za investigation aisee
 
Kwanza omba uwe shortlisted

Then uombe uwe selected

Mengine yatajipa mbele kwa mbele
 
Always what it is you are feelings is the perfect reflection of what is in the process of becoming.... cha msing kuzid kumwomba Mungu, ibilis asifanye yake!
 
Asante sana mkuu tuombe uzima na juendelea kumuhusisha mwenyezi Mungu
 
Kwanza omba uwe shortlisted

Then uombe uwe selected

Mengine yatajipa mbele kwa mbele

True say mkuu cha kwanza ni kupata kwanza bafasii then yatafata mengine mkuu ila kiukweli nikifanikiwa kupata na nikafanya kazi ya CID nadhan hiyo itajya nu self esteem kwangu maana napenda
 
Nahisi tumbo linaniuma kwa kusubiri huu usaili.
 
Hivi vipi kuhusu ile thread iliyosema kuwa inasemekana asilimia 90% ya applicants hawakukizi vigezo ikiwemo
1. Fani zao sio fani zilizotajwa
2. Umri wao kuwa above 25 kama ilivyokuwa inatakiwa
3. Hawajamaliza katika mwaka wa masomo 2013/2014.
Na kulingana na maelezo ya mtoa thread wahusika wanalalamika kwamba kwa sababu hizo imesababisha zoezi la kupitia maombi kuwa gumu.

My take: Inawezekana ikawa ni sababu za kuchelewa kwa usahili kwa wenye proffessions
 
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=719764

Hii thread ni ya tar 6 mwezi wa 9, siku 6 baada ya muda wa mwisho kupokea maombi, sidhani kama kuna hicho kitu kwa sababu siku 6 baada ya kumaliza kupokea maombi ni vigumu sana kujua kuwa 90% ya walioomba hawaqualify otherwise mtu aniambie walikuwa wanachambua kila siku kwa barua zilizokuwa zikiingia day to day...!
 
Hivi CID inawezekana kupata ukiingia police??

CID ni kitengo ndani ya jeshi la polisi yaani criminal investigation department, it depend to your professional kuwa Upelelezi na wengine mkawa general duty na ila FFU mara nyingi wanatoka JKT na wako chini ya kamanda wa mkoa RPC

hivyo psychology uwezekano wa kuwa upelelezi ni mkubwa
 
Kwa wanao taka ajira mda ndo huu nendeni mkalambe ajira

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
CID ni kitengo ndani ya jeshi la polisi yaani criminal investigation department, it depend to your professional kuwa Upelelezi na wengine mkawa general duty na ila FFU mara nyingi wanatoka JKT na wako chini ya kamanda wa mkoa RPC

hivyo psychology uwezekano wa kuwa upelelezi ni mkubwa

Asante sana sana Ejay ngoja tusubir kwanza shortlist ingawa ndugu na familia yangu hawataki kusikia hii kazi ila mimi nitaenda tuu madam nimeamua
 
Fununu zozote labda...? Kuhusu lini shortlist
 
Asante sana sana Ejay ngoja tusubir kwanza shortlist ingawa ndugu na familia yangu hawataki kusikia hii kazi ila mimi nitaenda tuu madam nimeamua

watakukubali siku ukiingia tu kazini kwanza maslahi pili heshima unayopata na wanayopata wao mtaani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom