Nzenzu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 858
- 164
mzima ka dadaaa ivi wewe sio TIS?
Hapana, mimi ni NZENZU.
mzima ka dadaaa ivi wewe sio TIS?
Zinduna, mbona picha yako ya avatar inakufanya uonekane uko very cheap?Mie nasubiri mpaka mwaka 2015, najua wakati huo mishahara na marupurupu vitaboreshwa na chama langu la CHADEMA.
thanks kaka, mimi architect, nasubiri watangaze niombe....Usijidanganye halaf ngoja niwaambie msije mkaniona nabii mwezi January litatoka tangazo la wataalam degree holders kwenda TMA moja kwa moja kwa kada 4 tu za Medicine, Architects, Meteorology na nyingine ya 4 nimeisahau(lakini cyo Telecom wala Engineering yoyote), kama huamini kaulize source yako unayoiamini wakupe uhakika wa hii information lakin kwa sababu zangu binafsi this as far as I can tell cwez kusema source yangu mnisamehe!
The rest of graduates wa kada nyingine jitahidi tu uende JKT kwanza then ubahatike uende TMA lakini kama unangoja entry to JWTZ moja kwa moja utasubiri sana, ila uzuri wa JKT ni kwamba vyombo vyote vya ulinzi na usalama vitaanza kuchukua watu kutoka kule so Police, Magereza, Usalama wa Taifa, Uhamiaji, Takukuru wanachukuaga pia JKT so ucfikirie Jeshi tu kwa hyo JKT yako think of sumwhere outside the box, nawasilisha!
thanks kaka, mimi architect, nasubiri watangaze niombe....
wewe ni afisa usalama?Hapana, mimi ni NZENZU.
tena nimeacha ajira ya take home milioni moja,na wewe umekosa kazi mtaani kwani?
tena nimeacha ajira ya take home milioni moja,
nimejiajiri napata kipato kikubwa zaidi ila tu kazi ya jeshi naipenda......
Kweli majigo huwa hukosi neno kwa wana jf
dogo unafahamu maana ya architecture? unajua architect ni nani? tulia kidogo acha kukurupuka......uongo mwingine bwana,yaani take home one mil alaf unaacha?
dogo unafahamu maana ya architecture? unajua architect ni nani? tulia kidogo acha kukurupuka......
nilikokuwa nafanya nilikuwa nalipwa 1milion take home ila kazi kuanzia asubuhi hadi saa 11 nipo hoi siwezi kufanya chochote wakati huo nafanya kazi kama draft man na sio kama architect, hii ni proffessional chalii......
dogo kwangu mimi jeshi heshima, halafu hawalipwi laki 7 arifu, kwa mwezi wanaondoka na kitu inayokaribia 2milions (nazungumzia maluteni/nyota 2), ila hiyo 2milions kwangu hainipi shida coz hata huku mtaani nazipata, jeshi nalipenda, elewa dogo, napenda jeshi....kwa hyo unaona raha kwenda kulipwa laki 7 sio?
dogo kwangu mimi jeshi heshima, halafu hawalipwi laki 7 arifu, kwa mwezi wanaondoka na kitu inayokaribia 2milions (nazungumzia maluteni/nyota 2), ila hiyo 2milions kwangu hainipi shida coz hata huku mtaani nazipata, jeshi nalipenda, elewa dogo, napenda jeshi....
dogo kwangu mimi jeshi heshima, halafu hawalipwi laki 7 arifu, kwa mwezi wanaondoka na kitu inayokaribia 2milions (nazungumzia maluteni/nyota 2), ila hiyo 2milions kwangu hainipi shida coz hata huku mtaani nazipata, jeshi nalipenda, elewa dogo, napenda jeshi....
ngoja niishie hapa kwa leo....ebu tuwekee salary slip yako hapa ili tuweze kuamin?
hahahahahahahahaha!.......mwaki bana....Hauna lolote wewe,njaa na ukosefu wa ajira tu ndiyo inayokufanya ulipende jeshi.
Hauna lolote wewe,njaa na ukosefu wa ajira tu ndiyo inayokufanya ulipende jeshi.
kwa taarifa tu nilizopata leo nilipoenda kufuarilia issue ya kujiunga na JWT nikwamba pale JKT wameanza usajiri so ni vyema kwa yule mwenye nia atembelee makao makuu ya jkt apate kujua kinachoendelea.ila kwa watu wenye fani ya udaktari huna haja ya kwenda huko jkt ww tuma au peleka mwenyewe maombi yako hata kwa mkono pale mako makuu upanga ofisi ya CHIEF OF MEDICAL SERVICES,Utapata msaada mkubwa sana kwa askari wetu waliopo kwenye ofisi hiyo na kama kuna la kutaka kufahamu zaidi utalijua.Tunahitaji vijana wengi sana wenye fani ya udaktari .