Jeshi jeshi jeshi

Jeshi jeshi jeshi

hahaaaaaa hapa sikibaliani na wewe,wataalqm hawaendi huko ila kwa wale wa kawaida ndo wanaenda huko

Usijidanganye halaf ngoja niwaambie msije mkaniona nabii mwezi January litatoka tangazo la wataalam degree holders kwenda TMA moja kwa moja kwa kada 4 tu za Medicine, Architects, Meteorology na nyingine ya 4 nimeisahau(lakini cyo Telecom wala Engineering yoyote), kama huamini kaulize source yako unayoiamini wakupe uhakika wa hii information lakin kwa sababu zangu binafsi this as far as I can tell cwez kusema source yangu mnisamehe!
The rest of graduates wa kada nyingine jitahidi tu uende JKT kwanza then ubahatike uende TMA lakini kama unangoja entry to JWTZ moja kwa moja utasubiri sana, ila uzuri wa JKT ni kwamba vyombo vyote vya ulinzi na usalama vitaanza kuchukua watu kutoka kule so Police, Magereza, Usalama wa Taifa, Uhamiaji, Takukuru wanachukuaga pia JKT so ucfikirie Jeshi tu kwa hyo JKT yako think of sumwhere outside the box, nawasilisha!
 
kama ndo hivyo ngoja nikachukue barua niende zangu jkt moja maana kitaa hali ni mbaya
 
Usijidanganye halaf ngoja niwaambie msije mkaniona nabii mwezi January litatoka tangazo la wataalam degree holders kwenda TMA moja kwa moja kwa kada 4 tu za Medicine, Architects, Meteorology na nyingine ya 4 nimeisahau(lakini cyo Telecom wala Engineering yoyote), kama huamini kaulize source yako unayoiamini wakupe uhakika wa hii information lakin kwa sababu zangu binafsi this as far as I can tell cwez kusema source yangu mnisamehe!
The rest of graduates wa kada nyingine jitahidi tu uende JKT kwanza then ubahatike uende TMA lakini kama unangoja entry to JWTZ moja kwa moja utasubiri sana, ila uzuri wa JKT ni kwamba vyombo vyote vya ulinzi nai usalama vitaanza kuchukua watu kutoka kule so Police, Magereza, Usalama wa Taifa, Uhamiaji, Takukuru wanachukuaga pia JKT so ucfikirie Jeshi tu kwa hyo JKT yako think of sumwhere outside the box, nawasilisha!

TMA ndo nini tena
 
jamani humu ndan watu wengi inaelekea wanataka nafasi za jeshi kiukweli jeshi kuanzia mwaka 2011 utaratibu umebadilika cha msingi kama unania kweli ya kwena jeshi tuma barua yako kwenda kwa MKURUGENZI WAJIRI WA JWTZ,S.L.P 9203,DAR-ES-SALAAM.....POINT YA MSING UKUBALI KUANZIA JKT HATA MWAKA MMOJA TUMA SS USISUBIR MPAKA WATANGAZE KOZI NAFASI ZAWEZA KUWA NDOGO KUTOKANA NA WATU WENG WANATUMA SASA.............huo ndo msaada wangu kwa wanaotaka jeshi
wewe umepata wapi hizi habari?
 
ama kweli njaa ni kitu kibaya sana, yani wasomi wazima mnaufanyia kazi huo uvumi! mtakuja mchunwe ngozi nyinyi kwa papara ya ajira na kutokua makini
 
ama kweli njaa ni kitu kibaya sana, yani wasomi wazima mnaufanyia kazi huo uvumi! mtakuja mchunwe ngozi nyinyi kwa papara ya ajira na kutokua makini

ngoja nisubiri tuuuuu maana vyanzo vipo vingi na vingine vinatuambia mambo ya tma
 
mie nasubiri mpaka mwaka 2015, najua wakati huo mishahara na marupurupu vitaboreshwa na chama langu la chadema.

jeshini hakuna maandamano wala matusi ..ni adabu tu..utaweza
 
Hivi mmesikia jeshini ndio wanakimbilia watu waliokosa kazi za fani zao huko uraiani?
 
sijui niende nikajiunge ili nipate nafasi ya kwenda malawi? nitawatofoatofoa wale kina banda kwenye masaburi na risasi hadi wangekoma.
 
Nafasi zikiwa chache haziongezeki kwa ku apply mapema kwa wale uluowaambia.
 
KILIMO KWANZA... itafika kipindi mtaambiwa hata mgambo nao wanaajiri graduates, na bado nafasi zitakuwa ngumu kupatikana.Fanyeni yenu,umri unatoka nduki kama Usain Bolt.
 
KILIMO KWANZA... itafika kipindi mtaambiwa hata mgambo nao wanaajiri graduates, na bado nafasi zitakuwa ngumu kupatikana.Fanyeni yenu,umri unatoka nduki kama Usain Bolt.

Hapo Umeandika Vya Maana Mkuu!
 
Back
Top Bottom