Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,210
- 138,602
Haki yake,utaropokaje bungeni huna ushahidi
HIVI Ninyi Mnajua Maana Ya Vikao Hasa!!!?? KAMA Kuna WABUNGE Wenu Tokea Mkutano Huo Umeanza Hadi Unaenda Mwisho, Hawajaudhuria Hata Kikao 1 Tu! Itakuwa Yeye Kuzuiwa Vikao Hivyo 2!!! ATHARI Yake Ni Ipi Hasa, Kama Mnaelewa!!??? Mh. Zitto Aliwahi KUTOLEWA Na Kuzuiwa KUUDHURIA VIKAO Karibia Mwezi Mzima!!! KWA Kusema UKWELI Kuhusu Kashfa Za Ufisadi!!! HIYO Ni Kawaida Saana Tu Kwa Bunge Kuwaadhibu Wabunge Wa Upinzani!!!
NDIO DAWA PEKEE YA KUWAKOMESHA WABUNGE WA UKAWA AMBAO WENGI WAO WANA ELIMU YA HAPA NA PALE NA YA KUUNGA UNGAWanacha kuadhibu mafisadi wa Escrow walioko Bungeni wanahangaika na wazalendo wa nchi hii!
Ha ha ha!mbinu za mapambano ya kijeshi zinaelekeza kujificha ili adui asikuone , na unamuacha apite halafu unamtandika risasi kwa nyuma , ushahidi haujashindikana bali hizo ni mbinu za bunge lijalo , hutaamini !
Ningeshangaa kama we kigagula usingejitokeza kwenye thread kama hii.....waite na mapumbavu wenzio...Lizaboni, Hamy-D,and the likes. Hizi ndio thread size yenu...Wale waliosema anao ushahidi wako wapi?
Umewashuka shuu.
Mzee wa shanga is very jeneras, when it comes to that...Ya leo kalamba tayari. Ila ya kesho atalipiwa na Kubenea
Ningeshangaa kama we kigagula usingejitokeza kwenye thread kama hii.....waite na mapumbavu wenzio...Lizaboni, Hamy-D,and the likes. Hizi ndio thread size yenu...
Nenda kamfunde mbunge wako Kishoa. Asikurupuke tu ilhali hana ushahidi. Haya mambo ya kuwasilisha hoja bungeni alizopata akiwa amekumbatiwa chumbani yatamtokea puani. Ona sasa anavyodhalilika. Hakuna atakayemuamini tenaNingeshangaa kama we kigagula usingejitokeza kwenye thread kama hii.....waite na mapumbavu wenzio...Lizaboni, Hamy-D,and the likes. Hizi ndio thread size yenu...
UKAWW wamejaa waropokaji tu. hawana hoja za maanaMwakyembe aliwapa chance ya kummaliza kumbe hawana data zaidi ya kuropoka tu!!
Mtu kawaambia Kama mkileta huo ushahidi najiudhuru hata ubunge!
Hizo data zingekuwepo si UKAWA wangeona ndio sehemu ya kupatia sifa???
daily allowance...kwi kwi kwi...labda waliomwingiza chaka wamchangieKwani mbunge anaposimamishwa kwenye kikao anapata hasara gani?
mikoba ya slaa ataiweza atulie kwanz ajifunzeTatizo la Jesca Kishoa ni kiherehere na kutojua tofauti kati ya mazungumzo ya mtaani na Bunge! Wabunge wa aina yake wanatakiwa wajifunze kwa Dr Slaa ambaye alikuwa anawasilisha hoja au tuhuma akiwa na vielelezo vya uhakika. Jesca yeye kakazana kuengea mipasho ya kwenye vijiwe. Hii inashusha hadhi ya Bunge. Shameful behaviour!
Mzalendo mwenyewe nani? au huyo aliyejihamishai mabilioni ya chama kupeleka akaunt binafsi nje ya nchi!Wanacha kuadhibu mafisadi wa Escrow walioko Bungeni wanahangaika na wazalendo wa nchi hii!
KAMA Ilivyokuwa Bado Kwako Nguruwe Pori Ww, Kuingia Shimo La Tewa!!!Na bado yule nyati wa ubungo
Ikumbukwe ZZK nae aliwahi kutolewa bungeni kwa issue ya Buzwagi lakini baadae ikahit...Ameshindwa kuwasilisha ushaidi wa tuhuma dhidi ya Mwakyembe na hata Mwenyekiti alipomtaka afute maneno yake maana ameshindwa kuleta ushaidi aligoma kufuta maneno yake.
Hivyo Mwenyekiti akatangaza kuwa kwa mjibu wa kanuni ilibidi asimamishwe vikao vitano ila kwa sababu bado siku mbili bunge liishe anamsimamisha vikao viwili vilivyobaki kuanzia mchana huu.
NB. Pole Jesca Kishoa Umaarufu gharama.
HUYO Mh. KISHOA Anaweza Vp Kuhamisha Pesa Za CHAMA Na Kupeleka Account Binafsi Nje Ya NCHI!!!!!!! Wkt Hana CHEO Chochote Kikubwa Ndani Ya CHAMA CHAKE!!!!!?? NADHANI UMEKARIRISHWA Vibaya, Ndio Ninyi Mliyofanywa MISUKULE Ya CCM!!!!!Mzalendo mwenyewe nani? au huyo aliyejihamishai mabilioni ya chama kupeleka akaunt binafsi nje ya nchi!