Jesca Kishoa, asimamishwa Vikao viwili vya Bunge

Ulbukeni wa kuigaiga kwakua mmewe aliweza nae akaiga sasa yamemfika kuchamba kwingi huko

Usipohudhuria vikao unakosa posho ya vikao.Sasa hapo ndio mwanzo wa matatizo Mumewe Kafulila hana kazi watakula nini jamani? Sio ndio mwanzo wa matatizo hapo.Spika mimi simo yakianza.
 
mbinu za mapambano ya kijeshi zinaelekeza kujificha ili adui asikuone , na unamuacha apite halafu unamtandika risasi kwa nyuma , ushahidi haujashindikana bali hizo ni mbinu za bunge lijalo , hutaamini !
Time will tell
 
JESCA David Kishoa Mbunge wa viti Maalum CHADEMA Jimbo la Iramba Magharibi, amesimamishwa kuhudhulia vikao viwili vya bunge. Ni baada ya kuleta bungeni habari kuhusu mabehewa feki na kushindwa kuthibitishia bunge. Ameshindwa kuthibitisha aliyo yasema, hivyo kasimamishwa vikao viwili, alitakiwa asimamishwe vikao vitano.

Siku yenyewe ilikua hivi;

Kishoa alianza kumtaja Dk Mwakyembe kuwa ni jipu linalohitaji kutumbuliwa na Rais na kuwa nafasi aliyonayo hakustahili.

Kishoa alitaja sababu ya kumwita Dk Mwakyembe si msafi kwamba alitumia zaidi ya Sh 238 bilioni kwa ajili ya kununulia mabehewa ambayo yalithibitika kuwa ni mabovu.

Waziri Mwakyembe alikanusha madai yaliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Jesca Kishoa kuwa ununuzi huo wa mabehewa mabovu uliisababishia sherikali hasara ya shilingi bilioni 238, huku akitaka ripoti ya ukaguzi wa ununuzi huo iwasilishwe bungeni.

Akitumia kanuni ya 63 (3) kuomba kutoa taarifa, Mwakyembe alikanusha kiwango cha fedha kilichotajwa na mbunge huyo wa viti maalum ambaye ni mke wa aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.

“Mbunge aliyesimama kabla, aliyejitambulisha kama mke wa Kafulila, ameeleza kwamba serikali ilitumia zaidi ya shilingi bilioni 238 na kuleta hasara kwa kununua mabehewa mabovu. Mheshimiwa Mwenyekiti nataka kukuthibitishia kwamba Serikali ya Jamhuri ya Muungano, kwa kununua mabehewa 274 haijawahi kutumia zaidi ya shilingi bilioni 60,”alisema Mwakyembe.

Waziri huyo alienda mbali na kueleza kuwa endapo mbunge huyo atawasilisha uthibitisho wa kiwango hicho cha fedha kutumika kununua mabehewa hayo, atajiuzulu nafasi yake ya ubunge.

“Mimi naomba athibitishe hiyo shilingi bilioni 238. Na nitashukuru sana kama akileta hapa. Na akileta hiyo, mimi nitajiuzulu hata ubunge,” alisema Mwakyembe.

Baada ya kauli hiyo ya Mwakyembe, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee naye alisimama na kueleza kuwa Waziri huyo hakutumia kifungu sahihi kutoa taarifa kwa kuwa alipaswa kutumia kifungu cha 63 (4) kutoa ushahidi wa kukanusha kwake kwanza.

Naye Kishoa aliendelea kusisitiza kuwa Serikali inapaswa kuwasilisha bungeni hapo ripoti ya ukaguzi wa manunuzi ya mabehewa hayo.

Hata hivyo, Mwenyekiti wa Bunge, Dk. Mary Mwanjelwa alitoa siku tatu kwa mbunge huyo wa viti maalum kuwasilisha ushahidi kuhusu madai yake. Ambao kashindwa kuwasilisha hadi leo

Hivi leo kutokana na kanuni, Andrew Chenge, kaamua kumfungia vikao viwili asihudhulie bungeni kwani alitakiwa amfungie vikao vitano, lakini kwakuwa bunge limebakiza siku mbili, kaamua kumfungia siku mbili. Kabla ya kufungiwa Jesca alipewa nafasi ya kufuta kauli yake, lakini akakataa na kuendelea kusisitiza kwamba aliyoyasema ni ukweli haoni sababu ya kufuta kauli, ndipo Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge kaamua kumfungia.
Kweli CCM mmetegwa mkategeka! Huyu binti anao ushahidi wa kutosha, hakuupeleka makusudi ili kuvuta hisia za watu! Sasa CCM wamenasa na umma tayari unataka kujua kulikua na nini kwenye mabehewa hayo.Ushahidi sasa ndio utaletwa inawezekana kupitiabunge mwingine na siyo Kishoa Jesca. CCM wameshamshika Simba mkia sasa wale wapole!Mwakyembe ameshindwa kujinasua na msala huu mapema sasa awe mpole.
 
Huyu katumwa na mumewe nini? Tunafurahi sana kama mbunge yeyote anyetoa tuhuma bungeni anaweza kuthibitisha kwa kutoa objective evidences. Sasa ni ya ku-insist tu hainogi
 
Alifikiri kujitambulisha kuwa ni mke wa Kafulila ataweza kuropoka na akavumiliwa.

Na akome kuwa Kihere here.
 
Tanzania ni nchi ya wajinga sana kwani asipo wasilisha kuna shida gani,,? Mwambie mama Makimda asome lipoti ya mbunge Lema, au mlikuwa hamjazaliwa bado, ndo shida ya watoto wa mama, kula kulala.
 
Ndugai aliahidi kuwashughulikia wabunge waliokosa heshima siku ya Rais akifungua Bunge...Ndugai hakufanya hivyo na matokeo yake ni huu upuuzi tunaouona kutokea bungeni kila uchwao!
 
Ulbukeni wa kuigaiga kwakua mmewe aliweza nae akaiga sasa yamemfika kuchamba kwingi huko
Tena angechezea mvua ya vikao 5 ndio ingemfanya ajitambue kua awapo bungeni atakiwi kukurupuka bali ni facts tu ndio zinafanya kazi.
 
Tatizo la Jesca Kishoa ni kiherehere na kutojua tofauti kati ya mazungumzo ya mtaani na Bunge! Wabunge wa aina yake wanatakiwa wajifunze kwa Dr Slaa ambaye alikuwa anawasilisha hoja au tuhuma akiwa na vielelezo vya uhakika. Jesca yeye kakazana kuengea mipasho ya kwenye vijiwe. Hii inashusha hadhi ya Bunge. Shameful behaviour!
SWALI, Je Ununuzi Wa Mabehewa Yale, Si Waliwahi Kuunda Tume Ya Uchunguzi Na Kuja Na Ripot Ya Madudu Kibao!!! Why Hiyo Ripot Haifanyiwi Kazi Kwa Miaka Yote Hiyo!! SASA Iwe Hesabu Sio Sahihi Au Sahihi, LKN Ndani Ya Mchakato Huo Tumeambiwa Na Tume Kuna Ufisadi Umefanyika!!!
 
Kweli CCM mmetegwa mkategeka! Huyu binti anao ushahidi wa kutosha, hakuupeleka makusudi ili kuvuta hisia za watu! Sasa CCM wamenasa na umma tayari unataka kujua kulikua na nini kwenye mabehewa hayo.Ushahidi sasa ndio utaletwa inawezekana kupitiabunge mwingine na siyo Kishoa Jesca. CCM wameshamshika Simba mkia sasa wale wapole!Mwakyembe ameshindwa kujinasua na msala huu mapema sasa awe mpole.
Endelea kuishi kwa hisia.

Upinzani aina hiyo alishaondoka nao Dr Slaa, hao unaotegemea wanao ushahidi kwenye bunge hili hawapo.

Yule mdada ni muendelezo wa yule jamaa mwenye Elimu ya apa na pale. Alie sema baada ya polici kuingia bungeni waliwakamata wabunge na kuwatoa kinguvu hali iliyopelekea wabunge wakike kuchaniwa chupi zao na shanga zao kukatika.

Mwenyewe kwa akili zake za kuaziama alidhani anawatetea kumbe ndio kwanza anawadhalilisha.

Wapinzani tuwe wa kweli kua bunge hili la 11tumepeleka vihoja na vichekesho bungeni badala ya watu makini.
 
Ni njama za kuwafunga midomo wabunge wasiongee kuhusu ufisadi serikalini.
 
Atalipwa posho au hatalipwa, maana hatuhitaji fedha zetu ziende bure kwa mtu ambaye hafanyi kazi...
 
Dr slaa ndo nani wewe, peleka ujinga wako Lumumba huko

Uwe na akiba ya maneno kwani wewe ndo mwenyekiti?maana huwezi jua mwenyekiti ataamkaje anaweza mrejesha katibu mkuu utaficha wapi sura?
 
Tena angechezea mvua ya vikao 5 ndio ingemfanya ajitambue kua awapo bungeni atakiwi kukurupuka bali ni facts tu ndio zinafanya kazi.
HIVI Ninyi Mnajua Maana Ya Vikao Hasa!!!?? KAMA Kuna WABUNGE Wenu Tokea Mkutano Huo Umeanza Hadi Unaenda Mwisho, Hawajaudhuria Hata Kikao 1 Tu! Itakuwa Yeye Kuzuiwa Vikao Hivyo 2!!! ATHARI Yake Ni Ipi Hasa, Kama Mnaelewa!!??? Mh. Zitto Aliwahi KUTOLEWA Na Kuzuiwa KUUDHURIA VIKAO Karibia Mwezi Mzima!!! KWA Kusema UKWELI Kuhusu Kashfa Za Ufisadi!!! HIYO Ni Kawaida Saana Tu Kwa Bunge Kuwaadhibu Wabunge Wa Upinzani!!!
 
Back
Top Bottom