Mh! Vodoo does not existTunguri lime backfire
Mh! Vodoo does not existTunguri lime backfire
Mods please tuhakikishieni kama hii habari ya huzuni ni kweli.
Unaambiwa madaktari na Watu wa mochwari wengi wamekufa ghafla kwenye Hospitali zote za mikoa. maandamano yaliyotokeaGood riddance to bad rubbish.
Wameanza kumalizana wao kwa wao.
No mercy , we move on .
Bashungwa and co jiandaeni.
Ila bado ICC kibibi ataenda tu.
MKuu unajua jenista toka ameanza kupata unaibu waziri hajawahi kukaa benchi? Na kaanza kupata uwaziri kitambo sana, ni safari hii tu ndo amwachwa lazima alipata stressHow intellectual wa JF mnafikiri sababu ni kukosa uwaziri? Huyo ni mkongwe wa kazi hawezi kupata pressure hiyo...... kwamba mambo yanayosemwa huku hamyaoni au? ...... mbona kama dot nyepesi kabisa hii? Achieni watu wa FB hizo speculations.
Kweli kabisa, but wanajaribu kuona kama yana existMh! Vodoo does not exist
R.I.P Jenister, Pole wana paramiho
NaamIsraili angeanzia huko utosini kabisa furaha yetu ingekuwa kubwa mara milioni.
Eliminated? Kwa nini hasa? Alikuwa tishio? Huyo kashindwa cope na kukosa uwaziru. Umri huo sonona inakuondoa mara moja.Eliminated who is next Bashu...be prepared
Utajua mwnywSio wote
Sema wewe na wendako km wewe sio wote
Leo umeniona nikichekacheka Wapi?Mbaga Jr hua anaziacha wapi akili.. tangu asubuhi unacheka cheka tu.. Kama umeamka na furaha za kutosha leo
Wafe tu, wanaccm hakuna mzuri wote wabayaMpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Jaunary na Nchimbi be careful!!
Bahati mbaya hata mkifa hakuna mtetezi maana mlikumbatia mfumo mfu wa kifisadi!!
Wanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!
Haitosaidia damu za watu 10000+ ni nyingi kipindi hiki wauaji hawatachomoka.Unaambiwa madaktari na Watu wa mochwari wengi wamekufa ghafla kwenye Hospitali zote za mikoa. maandamano yaliyotokea
Hujawahi kukaa na hawa watu? Bila hivyo vyeo wanajiona si binadamu kamili. Hasa wale walioungaunga. Kukosa cheo ni pigo kubwa sana kwao.How intellectual wa JF mnafikiri sababu ni kukosa uwaziri? Huyo ni mkongwe wa kazi hawezi kupata pressure hiyo...... kwamba mambo yanayosemwa huku hamyaoni au? ...... mbona kama dot nyepesi kabisa hii? Achieni watu wa FB hizo speculations.
Ila mkuu una roho ngumu likija swala la kifo. Nakumbuka kwenye ile ajali ya basi iliyowaka moto na kuunguza abiria ulikuwa huna hata huzuni humu jamvini. Inaoneka hujawahi kufiwaThibitisha kwani kifo sio jambo la kushangaa.
Wameleta Fujo wapi na hizo Fujo zilikuwa dhidi ya nani?Wameleta fujo hao ,wakifa hata kesho tutachinja Ng'ombe huku kwetu
Hakuna mwanaccm anapaswa pumzika anapaswa apigwe vibokoPoleni wafiwa wote na Mungu ampe pumziko la milele Amina.