Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,298
- 4,860
Watu wa peramiho na parangu wanamjua vizuri, mama wa kuzamia ziwa nyasa.jennista alikuwa anatumia mandumba sana ,ndugu zake wengi wametolewa kafara.
Watu wa peramiho na parangu wanamjua vizuri, mama wa kuzamia ziwa nyasa.jennista alikuwa anatumia mandumba sana ,ndugu zake wengi wametolewa kafara.
Twende msibani pale Mateka tukale pitikuRIP Mbunge wangu.
Ukapumzike panapostahili.
Mnaondoshwa m1 baada ya mwingne ili kuepuka adha kwa wenye nchi yao.
Kwa Magu ilianza hivi hiviWameanza kuondoka Mmoja baada ya Mwingine.
Huyo alikuwa Waziri wa afya.
Labda kaondolewa ili asije akatoa ushahidi
Nimewaza tu
Apumzike kwa amani
Mdude,Mzee Kibao,Polepole ,Soka , Chaula,Jacob Mlay mliwapumzisha kwa amani jinga lao?Umeishiwa hoja na pawa
Mngese tuu huyo jamaa, anajifanya kunijua sanaMajuha ya CCM hawakawii kusema kucheka nako ni kosa la uhaini. Ni ruksa kufurahi adui yako, akipata matatizo.
Kakazwe huko ulipozoeaNyuzini
Mdude,Mzee Kibao,Polepole ,Soka , Chaula,Jacob Mlay mliwapumzisha kwa amani jinga lao?
"Kifo ni kifo", by Samuya.Watanzania wote tumefurahi
Na sisi ndio wakati wetu kuwakumbusha kuwa kama walitaka kupumzika kwa amani wasingewapumzisha watu kwa kuwatoa macho na kuwamwagia tindikali halafu wakatelekeza maiti zao na wengine hazijawahi hata kujulikana zilipo.Yaani inasikitisha sana, ukiwaona wanavyotamba sasa
Mambo haya yaenda kirahisi sana taarifa zaandikwa kiufupi sana hakuna maelezo zaidi na taarifa hizi zote zafanana kuonyesha spika wa Bunge jinsi anavyofikiria.Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.
Amefariki!JF jilidhisheni hii habari, je si alikuwa waziri au alikosa?
Kuna jitu halipati usingizi kila likifumba macho linamuona Mzee Ali Kabao, Mdude Nyagali na Polepole sasa linakunywa pombe kali na kuvuta skanka bila hivyo haliwezi kulala na huu ni mwanzo tu kifutachoa litaanza kuvua nguo hadharaniMdude,Mzee Kibao,Polepole ,Soka , Chaula,Jacob Mlay mliwapumzisha kwa amani jinga lao?
Hapana hawezi toa ushahidi kwasababu ana kiapo cha kutotoa siriWameanza kuondoka Mmoja baada ya Mwingine.
Huyo alikuwa Waziri wa afya.
Labda kaondolewa ili asije akatoa ushahidi
Nimewaza tu
Apumzike kwa amani
Naomba aende jehanam achomeke haswa.
Hajafariki. AMEKUFA nyang'au huyoAmefariki!
Ila raisi Dennis Robert Shughuru 😀😀Afrika watu wenye ukwasi na connection ndo wanaongoza kwa kuogopa maisha
Wewe unamwombea huku, kule jehanamu mwenzoko anachomeka haswa kwa kosa la kushiriki uchafuzi wa tarehe 29 October.Rest in peace Mama. Pressure za kuchambua sababu za kukosa uwaziri.You should have taken it easy mama.It was life. Sleep easy Mama Jen.