Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,209
Naona D9 imemfyekelea mbali.
Kwani nani hajui? Au mbona viongozi wengi wako na hiyo dots yakoo.Acha ushambenga, huyu alififiwa na mumewe aliyeugua muda mrefu...!
Connect the dots.
Nimesikia na hii mimi pia..wanamalizana wenyewe kwa wenyewe Zanzibar hawataki mchezoMpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Jaunary na Nchimbi be careful!!
Bahati mbaya hata mkifa hakuna mtetezi maana mlikumbatia mfumo mfu wa kifisadi!!
Wanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!
Kama aliendelea kulialia pembeni huko, usikute wahuni wametoa go ahead tu.Rest in peace Mama. Pressure za kuchambua sababu za kukosa uwaziri.You should have taken it easy mama.It was life. Sleep easy Mama Jen.
na yeye akazikwe pasipojulikanaMbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.
Sasa dots za nini? Kuuguliwa si kawaida tu.Acha ushambenga, huyu alififiwa na mumewe aliyeugua muda mrefu...!
Connect the dots.
Posho na marupu rupuu.Kukosa uwaziri hadi mtu unafariki kuna nini huko wizarani? anyway RIP
Kuuguliwa si kawaida, kuuguliwa muda mrefu si kawaida......!Sasa dots za nini? Kuuguliwa si kawaida tu.
nimefurahi sana, tumshukuru mungu hata kwa hiki kidogo, najua atatenda makubwa zaidiAHSANTE MUNGU KWA KUTUONDOLEA HIZI TAKATAKA
Binafsi nimefurahi mnooooo!
Afrika watu wenye ukwasi na connection ndo wanaongoza kwa kuogopa maishaRest in peace Mama. Pressure za kuchambua sababu za kukosa uwaziri.You should have taken it easy mama.It was life. Sleep easy Mama Jen.
Huyu hata sio huko Juu, ni huku chini jimboni, watu walisha mchokaa.How intellectual wa JF mnafikiri sababu ni kukosa uwaziri? Huyo ni mkongwe wa kazi hawezi kupata pressure hiyo...... kwamba mambo yanayosemwa huku hamyaoni au? ...... mbona kama dot nyepesi kabisa hii? Achieni watu wa FB hizo speculations.