Tuliza cha kwako kama kinakuwashwa sema tukishgukilikieGaidi mmechezea kipigo mara ya kwanza tuliza kinyeo .
Una uhakika gani yeye anapata tabu wakati siku zake za kuishi zimefika...Hasikii maumivu basi kamaliza mwendo ...Nimeosha sana maiti,kiumbe ninayemuonea huruma ni fukara na aliyepata ulemavu.Ila mkuu una roho ngumu likija swala la kifo. Nakumbuka kwenye ile ajali ya basi iliyowaka moto na kuunguza abiria ulikuwa huna hata huzuni humu jamvini. Inaoneka hujawahi kufiwa
Wameleta fujo hao magaidiWameleta Fujo wapi na hizo Fujo zilikuwa dhidi ya nani?
Wengine nao wana watu wenu wakifa watafanya sherehe... Siyo mtume polisi kukamata watu kama wakati ule!!
OffMbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.
NyuziniLeo umeniona nikichekacheka Wapi?
Hujawahi kukaa na hawa watu? Bila hivyo vyeo wanajiona si binadamu kamili. Hasa wale walioungaunga. Kukosa cheo ni pigo kubwa sana kwao.
Huyu hatuna shaka nae atalipa mauaji aliyoyafanya.Itakuwa amegusa damu isyogusika .. nae kalazwa mbele, the same Ina apply Kwa Samuya. Kuna damu zingine huwa zina mtindo wa revenge
Mdude na Polepole mliwapumzisha kwa amani jinga lao?Pumzika kwa Amani
Siasa za majitaka hizi. Kweli alishindwa kuwa mwenyewe mbele ya watu ambao wanaweza kumuona kuwa anajitoa ufahamu. Rais alikuwa sahihi kabisa kumuacha.
Very much likely!Huyu Kamalizwa Kuuficha ushahidi wa ICC kwakuwa alikuwa Waziri wa Afya mpaka Ile siku ya MO 29
Mara nyingi wanaojiona wana akili ndio huwa hawana akili.Fungua akili....Hiyo alikuwa Waziri wa Afya mpaka Ile siku ya mauaji ..hivyo amebeba ushahidi
Kifo cha Magufuli kilikuwa na impact kubwa kwa sababu alifia madarakani. Angekuwa mstaafu kama Mkapa na Mwinyi, msiba wake ungekuwa ni wa kawaida.Kifo cha magufuli ndio kifo kiliwagusa watanganyika kuliko kifo cha kiongozi yeyote yule nchi hii na haita kuja kutokea watanganyika waguswe na kifo cha kiongozi kama ilivyo kuwa kwa magufuli
Umeishiwa hoja na pawaMdude na Polepole mliwapumzisha kwa amani jinga lao?
Kwa nini?Umeishiwa hoja na pawa
Majuha ya CCM hawakawii kusema kucheka nako ni kosa la uhaini. Ni ruksa kufurahi adui yako, akipata matatizo.Leo umeniona nikichekacheka Wapi?