jennista alikuwa anatumia mandumba sana ,ndugu zake wengi wametolewa kafara.
Hao wazee hauna mawasiliano nao watusaidie kwa namba moja pale?Huyu hata sio huko Juu, ni huku chini jimboni, watu walisha mchokaa.
Si akaanza kuwananga wazee eti, jimboni hatoki hadi yeye aamue, na alishasema 2030 anagombea tena.
Wazee wameamua kumaliza mzozo mapemaa. Lol
Kuimba kupokezana juzi tu mlikuwa mnashangilia vijana kupigwa risasi.Mambwa ya chadema ndio ilivyo utadhani kama wao hawatakufa
Acha kujishitukia, yaani kweli nipoteze muda wangu kukuchukia mtu kama wewe! Ntakuwa kichaa wa mwisho kabisa, wewe ni wa kudharauliwa na siyo kuchukiwaUmaskini ni nusu ya uchawi ,kila mtu unamchukua ..Piga mswaki kwanza harufu mpka huku.
Fuatilia tu ,ndugu zake wangi wametolewa kafara.Tetesi alimtoa kafara mumewe Eng. Mhagama ili apate ubunge
Sasa Gwajima na TEC wameingiaje hapa? Au hujui kuwa Jenista alikuwa ni MKATOLIKI?Magufuli mliomba afe leo mnataka mwingine...😅😅kila mtu na siku zake ...Mwambie Gwajima na TEC waniombee mimi nife
Wanaoanza kumalizwa ni wale Viongozi Wakatoliki wenye ushawishi na walio karibu na Nchimbi.Eliminated who is next Bashu...be prepared
Viongozi Wakristo hasa Wakatoliki na Team Nchimbi kazi wanayo.
Huyu wamemmaliza.
Huyu kafa kwa kuumiza moyo kwa mawazo ya kuachwa uwaziri. Pamoja na kugalagala uwaziri Hola.Wala hakuna aliemmaliza. Kajimaliza mwenyewe. Mungu ampumzishe kwa amani.Viongozi Wakristo hasa Wakatoliki na Team Nchimbi kazi wanayo.
Huyu wamemmaliza.
Maccm yakifa nisawa tuAfe tu,kumbe nini?
Nani kakwambia?Huyu kafa kwa kuumiza moyo kwa mawazo ya kuachwa uwaziri. Pamoja na kugalagala uwaziri Hola.Wala hakuna aliemmaliza. Kajimaliza mwenyewe. Mungu ampumzishe kwa amani.
Huyo Ni team Rostam aziz alikuwa ameandaa wabunge wanaomkubali Rostam akashutukiwa ndio maana akatemwa na kizimkazi.
Hii Vita tamu Sana Kuna team 4 mpaka sasa Team kizimkazi, team msonga, team Rostam na team Magufuli
Mpaka 2030 mtaona na kushuhudia mengi
Kuna mijinga ilikuwa inasherehekeaKifo cha magufuli ndio kifo kiliwagusa watanganyika kuliko kifo cha kiongozi yeyote yule nchi hii na haita kuja kutokea watanganyika waguswe na kifo cha kiongozi kama ilivyo kuwa kwa magufuli
Toka hapa maskini mkubwa ,ukileta fujo utashughulikiwa ..Zoezi hilo la kuwashughulikia wapumbavu kama wewe ni endelev.Acha kujishitukia, yaani kweli nipoteze muda wangu kukuchukia mtu kama wewe! Ntakuwa kichaa wa mwisho kabisa, wewe ni wa kudharauliwa na siyo kuchukiwa
Wameleta fujo hao ,wakifa hata kesho tutachinja Ng'ombe huku kwetuSasa Gwajima na TEC wameingiaje hapa? Au hujui kuwa Jenista alikuwa ni MKATOLIKI?