Duh!jennista alikuwa anatumia mandumba sana ,ndugu zake wengi wametolewa kafara.
Hizi ni hisia zenu waja...Rest in peace Mama. Pressure za kuchambua sababu za kukosa uwaziri.You should have taken it easy mama.It was life. Sleep easy Mama Jen.
Itakuwa amegusa damu isyogusika .. nae kalazwa mbele, the same Ina apply Kwa Samuya. Kuna damu zingine huwa zina mtindo wa revengejennista alikuwa anatumia mandumba sana ,ndugu zake wengi wametolewa kafara.
Na kiliwagusa wengi sana. Nusu yao walisikitishwa na nusu yao walifurahiaKifo cha magufuli ndio kifo kiliwagusa watanganyika kuliko kifo cha kiongozi yeyote yule nchi hii na haita kuja kutokea watanganyika waguswe na kifo cha kiongozi kama ilivyo kuwa kwa magufuli
Kipindi cha mazishi ya Nyerere ulikuwepo?Kifo cha magufuli ndio kifo kiliwagusa watanganyika kuliko kifo cha kiongozi yeyote yule nchi hii na haita kuja kutokea watanganyika waguswe na kifo cha kiongozi kama ilivyo kuwa kwa magufuli
Tunguri lime backfireCause of death?
Israili angeanzia huko utosini kabisa furaha yetu ingekuwa kubwa mara milioni.Watanzania wote tumefurahi