TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Mpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Jaunary na Nchimbi be careful!!

Bahati mbaya hata mkifa hakuna mtetezi maana mlikumbatia mfumo mfu wa kifisadi!!

Wanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!
Inabidi wajihami mapema sana.
Bado wana marafiki kwenye system
Wawatumie.

Ila mama sidhani kama atafika mbali. Watajichanganya tu
 
Back
Top Bottom