TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Kilichomponza jenista ni ukatoliki wake maskini[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pia ni team nchimbi, Jenista kuanzia maisha yake yote elimu yake kapitia mafunzo na shule za kikatoliki unaambiwa ni miongoni mwa watu waliokua wameishika dini haswa kwahyo walikua wanamuhisi kuwa ndo anawapa siri watu wa Tec[emoji24][emoji24]pia alikua team nchimbi maana nchimbi nae ni mngoni mwenzie[emoji24]
Kwenye kushika dini hapo ni uongo
 
Jamaniii kumbe ndo yeye alimgeuka Ummy na kuvujisha voice note.

Leo yeye katangulizwa akhera Sokoni.
1765535128611.jpg
1765535128611.jpg
 
Thibitisha kwani kifo sio jambo la kushangaa.
Hakuna kupumzika kwa amani, huyo alichangia mauaji. Alikataza wauguzi wasitibie majeruhi akiwa waziri mwenye dhamana…!!

Karma iwatafune wote na ndugu zetu huyo marehemu hakikisheni hadi huko mnampa kiminyo hakuna kupoa 😹😹😹
 
Chawa kaenda
Sasa ukute kugalagala kote huko mama kampiga chini uwaziri , kapatwa na mastress kibao na huo mwili mkubwa hamna mazoezi akapatwa na HBP, basi tena ndio safari hio. Hamna "foul play" ni maisha yetu ya kibongo bongo ukiwa mnene ndio maisha umeyapatia kumbe mgonjwa. RIP.
 
Back
Top Bottom