TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Hakuna kupumzika kwa amani, huyo alichangia mauaji. Alikataza wauguzi wasitibie majeruhi akiwa waziri mwenye dhamana…!!

Karma iwatafune wote na ndugu zetu huyo marehemu hakikisheni hadi huko mnampa kiminyo hakuna kupoa 😹😹😹
Na hao waliokufa wakiandamana nao wana makosa wameadhibiwa na Mungu.
 
Kiboko yake ilikua Joseph Muhagama, alimnyoosha had wakaamua wagawane jimbo.
Chezea Jose weyeeee, 😂😂😂😂😂
Aisee ila viongozi 99%wanatumia ndumba
Kwahiyo hskuwa tofauti na kinginge?
Haya Mungu kaamua ugomvi
 
Kheeeeh ni ana mali hatariiiii.
Ndiyo wazitunze!
Mwenye mali akiondokaga
Nazo huwa zinapukutikaga
😄
Na kama mali ulipata kihalali basi kuna uwezekano mkubwa ikadumu,kama mali ulipata kwa konakona itarudi kwa wenyewe
Any way huyu maza alikuwa chuma hasa 😄
Kila awamu yupo

Ova
 
Hatariiiii yuleee, 😂😂😂😂
Screenshot_20251212-114942.png
 
Hakuna kupumzika kwa amani, huyo alichangia mauaji. Alikataza wauguzi wasitibie majeruhi akiwa waziri mwenye dhamana…!!

Karma iwatafune wote na ndugu zetu huyo marehemu hakikisheni hadi huko mnampa kiminyo hakuna kupoa 😹😹😹
Wewe ni mpumbavu sana

Hakuwa kwenye position ya maamuzi, alikua anasubiri matokeo ya uchaguzi huko kwao

Muwe na akili kidogo

Ndio maana mna kosa legitimacy ya kuchallenge vitu vya maana

Mnaropoka sana
 
Ndiyo wazitunze!
Mwenye mali akiondokaga
Nazo huwa zinapukutikaga
😄
Na kama mali ulipata kihalali basi kuna uwezekano mkubwa ikadumu,kama mali ulipata kwa konakona itarudi kwa wenyewe
Any way huyu maza alikuwa chuma hasa 😄
Kila awamu yupo

Ova
Victor na Osmund watatunza mali, wakimuachia joakim kitawalambaa.
😂😂😂😂
 
Wewe ni mpumbavu sana

Hakuwa kwenye position ya maamuzi, alikua anasubiri matokeo ya uchaguzi huko kwao

Muwe na akili kidogo

Ndio maana mna kosa legitimacy ya kuchallenge vitu vya maana

Mnaropoka sana
Kmmk na mmk naye la mmk pumbavu..!!

Vipi Samuya alikuwa kwao naye alitoa amri polisi waue je, alikuwa nani? Bichwa maji wee punguani mkubwa..!!
 
Back
Top Bottom