Alikuwa lkn kwasasa hakuteuliwa kuwa wazir tenJF jilidhisheni hii habari, je si alikuwa waziri au alikosa?
Alikuwa lkn kwasasa hakuteuliwa kuwa wazir tenaJF jilidhisheni hii habari, je si alikuwa waziri au alikosa?
Sasa wameweka kambi huko msibani PeramihoWanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!
Kheeeeh ni ana mali hatariiiii.Usiniambie
Nimeona, aaah kumbe huko Ruanda ni kwa mumewe, na pia alizikwa huko. Ila Jenister kwao ni peramiho Parangu.Ratiba imetoka,wanamleta mbinga Ruanda ndipo atazikwa.,msiba una vituo kama IMLA, peramiho watalala kuzika mbinga.
Jenister hana shoga yoyote mbunge wa mkoa Ruvuma hasa wanawake wenzie, alikuaga Manyanya, ni mfitini na mkaksi hatarii huyu mama. LolKuna shoga Ake Judith kapinga,huyu kapewa uwaziri🙌
Kiboko yake ilikua Joseph Muhagama, alimnyoosha had wakaamua wagawane jimbo.Saaana ndugu yangu ilikua ukienda kuchukua nae form ya kugombea nafasi yake huchukui round futi 6 kwenye moyo wa ardhi tunakufukia hana utani huyu mtu anyway........R.I.P
Eti mfitini🤣,,,,,kwahiyo kimemlamba!?Jenister hana shoga yoyote mbunge wa mkoa Ruvuma hasa wanawake wenzie, alikuaga Manyanya, ni mfitini na mkaksi hatarii huyu mama. Lol
Aisee,wahuni wanasema msosi parangu🤣Nimeona, aaah kumbe huko Ruanda ni kwa mumewe, na pia alizikwa huko. Ila Jenister kwao ni peramiho Parangu.
Wabongo bana,Fungua akili....Hiyo alikuwa Waziri wa Afya mpaka Ile siku ya mauaji ..hivyo amebeba ushahidi
Msosi toka makambi had peruu, nshaandaa take away za kubebea maspta sapta.Aisee,wahuni wanasema msosi parangu🤣
Huyu kumlamba ni kawaida, angestuka tonge lake kupewa mkwe, hakujua ni mission maalumu?Eti mfitini🤣,,,,,kwahiyo kimemlamba!?
Kwakweli wamefanya sivyo,wangemuacha mama wa watu,,Huyu kumlamba ni kawaida, angestuka tonge lake kupewa mkwe, hakujua ni mission maalumu?
Bado Bashungwa na Mama Tax. Watamfuata nyina witu Jeni.
Wamuache halafu? Mission inaendelea. Mdo mdo.Kwakweli wamefanya sivyo,wangemuacha mama wa watu,,
Eti wamuache huyu wa wapi waje wakose faida zao, Wana roho ngumu za kishetani na ndiyo wanafuata vizuri maelekezo ya kitabu cha THE PRINCE cha NICOLLO MACHIAVELLIWamuache halafu? Mission inaendelea. Mdo mdo.
Swadaktaaaaaa!!!Eti wamuache huyu wa wapi waje wakose faida zao, Wana roho ngumu za kishetani na ndiyo wanafuata vizuri maelekezo ya kitabu cha THE PRINCE cha NICOLLO MACHIAVELLI
Aisee,wanadhulumu nafasi,Wamuache halafu? Mission inaendelea. Mdo mdo.
Aisee huyo aliepiga magoti angekuwa ni ndugu yangu ningemvunja mguuView attachment 3514384
Weka caption mwenyewe ndugu mwana JF.....
Na viongozi wajibu wao ni upi dada?Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi