G
guest-1790917349
Guest
Kwa hali ilivyo utaacha kuwa mleiAlisema Ummy eti.
Famchezo nn
Kwa hali ilivyo utaacha kuwa mleiAlisema Ummy eti.
Duh songea longtime sijatia maguu itabd nirudiTutapambana naloo, muhimu maakuli tupate.
Kumbe na kushika Wizara kubwakubwa lakini alikuwa na Ka-Diploma tu ka Ualimu jamani???
Mbona wamemsifia sana jana kuwa alikuwa mcha Mungu anafunga kila siku na kutoa sadaka kwa mahitaji pamoja na kusaidia kanisaKwenye kushika dini hapo ni uongo
Yani walivyomuelezea kuhusu kuwa mcha Mungu hadi walikuwa wanamuita katekista. Nachoka mimi nachokaNamjua jenister vizuri sana
And that is what makes you sick…. Huwezi kuchambua chochoteKmmk na mmk naye la mmk pumbavu..!!
Vipi Samuya alikuwa kwao naye alitoa amri polisi waue je, alikuwa nani? Bichwa maji wee punguani mkubwa..!!
🙌😁😁😁Ahsante Mungu hata kwa hichi kidogo
What if alikopa mihela na kuingia Mikataba ya kupiga madeal !?Kukosa uwaziri tu ndio unafariki!
Lowassa sio alikuwa mlutherani?Lowassa. 😢😢😭😭
Walioandamana wameuliwa na samuya, samuya amekuwa Mungu?Na hao waliokufa wakiandamana nao wana makosa wameadhibiwa na Mungu.
True... watu wanachukulia poa kukosa uwaziri... wamuulize Kigwangala, alipata sonona sio ya dunia hii 😂 😂 😂What if alikopa mihela na kuingia Mikataba ya kupiga madeal !?
Lazima apatwe na kisukari
Kumbe na kushika Wizara kubwakubwa lakini alikuwa na Ka-Diploma tu ka Ualimu jamani???
Wewe ndo hujui kuchambua.And that is what makes you sick…. Huwezi kuchambua chochote
Jenister Hakua na sauti yoyote alishakua nje ta wizara aiku ya uchaguzi
Dah' songea ilinikomesha na hiyo baridi ya mwezi wa 7 kwenda wa 9 plus mvua zisizoisha na radi za kutosha mwezi DecemberHali ya hewa Leo,, maakuli si songea makambi mnaupiga Hadi kesho kutwa.
Eeh baridi,now Kuna mvua isiyoisha na radi za shwaaa,Dah' songea ilinikomesha na hiyo baridi ya mwezi wa 7 kwenda wa 9 plus mvua zisizoisha na radi za kutosha mwezi December
Ila December ndio kipindi pekee nilikuwa nakipenda kwa hiyo wilaya, maembe mekundu ya Peramiho 🔥🔥
Siku moja tutarudi kusalimia
Kashakula wa kutosha hata akifa kaondoka na wake.Walioandamana wameuliwa na samuya, samuya amekuwa Mungu?