TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Mpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Ummy, Bashungwa, Tax,Jaunary na Nchimbi be careful!!

Bahati mbaya hata mkifa hakuna mtetezi maana mlikumbatia mfumo mfu wa kifisadi!!

Wanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!

Kikwete atawaua wote ambao watakuwa kikwazo kwa mwanae kuwa RAIS 2030!! Hivyo msishangae mkisikia NCHIMBI, JANUARY etc wakidondoka muda si mrefu!!i
 
VIDEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama, yaliyofanyika katika Kijiji cha Ruanda Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma
 

Attachments

  • VID-20251216-WA0066.mp4
    23.7 MB
Haijazikwa tuu hii kimbulu? ilibariki mauaji ya watanzania wenzetu wakiamini wao wataishi milele

bado na wenginess
 
And that is what makes you sick…. Huwezi kuchambua chochote

Jenister Hakua na sauti yoyote alishakua nje ta wizara aiku ya uchaguzi
tizama katiba yako au Google ikusaidie kujua mawaziri hukoma uwaziri siku gani. Alikuwa ni waziri mwenye mamlaka kamili hadi siku ya mauwaji ya uchaguzi
 
Sijui kwanini navutiwa sana na kitai,kama unaelekea Ruhanda napapenda🥰,,,Kuna sehemu inaiywa makolo🔥,
Amani Makolo, vipi hukuenda msibani?
Toka nitazame buriani, nilikua mnyonge na nilikua nalia.
Jamanii watu wabayaa, 😭😭😭
 
where are they.JPG

Maisha ni fumbo kubwa sana.
Uzi tayari
 
Maisha sio fumbo.

Ukishazaliwa lazima ujue, ipo siku utakufa.

Hakuna fumbo hapo.

Wao sio wa kwanza kufa, Na wao sio wa mwisho kufa.
 
Back
Top Bottom