Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

Jengo limeanguka lenyewe kwa kujengwa chini ya kiwango halafu anasingiziwa Nassari. Dunia hii
 
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.

Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kuwa DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

Huyo ni Joshua Nassari eeh?! Ngoja kiburi yake tutaimaliza, aongee na Sabaya amweleze.
 
Nawasubiri wale waliokua wanasema mama anaiponya nchi waje hapa.
Mama ndiye kabomoa? Yaani jinsi alivyo busy kuijenga upya nchi anawezaje kuhangaika na kakibanda tena vijijini Bunda huko? Siku pakibomolewa Ufipa ndiyo tunaweza kumuhusisha yeye
 
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.

Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kuwa DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

Unajua MaDC Kama hawa dawa Yao NI moja Tu. Kumlaani
 
Mama ndiye kabomoa? Yaani jinsi alivyo busy kuijenga upya nchi anawezaje kuhangaika na kakibanda tena vijijini Bunda huko? Siku pakibomolewa Ufipa ndiyo tunaweza kumuhusisha yeye
Mama anaponya nchi 😄😄😄😄
 
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.

Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kuwa DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

HUU NI UHUNI WA CHADEMA AU CHAGADEMA WANATQAKA KULETA TAHARUKI KWA JAMII WAONEKANE WANAONEWA WANAVUNJA WENYEWE HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU AKAFANYA HUO UJINGA CHADEMA WAHUNI
 
Hata mlivyomla nyama Saanane mlisema hivi hivi.
Na mlipomuua Kamanda Mawazo mlisema hivi hivi.
Mnapoteka watu mnasema hivi hivi.
Mlipomshambulia Lissu kwa bunduki za kivita mlisema hivi hivi.
MBOWE ANAJUWA SAANANE CHACHA WANGWE NA KILA MADHIRA YA CHADEMA MBOWE NI MHUSIKA YAANI ANAJIFANYA KONDOO KUMBE MBWA MWITU SASA HIVI KAPATIKANA ATANYOOKA TU
 
Back
Top Bottom