Kwa Katiba ya CHADEMA, John Heche hahusiki na Hela za Chama, Wahusika ni Ofisi ya Katibu Mkuu na Baraza la Wadhamini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
140,317
Reaction score
279,955
Kwahiyo wale ambao mmejichotea mihela ya Abdul basi jaribuni kutunga UONGO mwingine ili mueleweke

Mali za Chadema zikiwemo hela ziko Chini ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Baraza la Wadhamini na si vinginevyo

UJUMBE: Hakuna kitabu chochote Kitakatifu kilichowahi kuelekeza Maridhiano na Shetani
 
Ikiwa ni hivyo,
kulikoni sasa michango ya pesa za chama iingizwe kwenye akaunti binafsi ya heche ?

na kwanini baadhi ya michango kwaajili ya chama aliyoipokea Heche hakuiwasilisha chamani na badala yake akaanza kutumia fedha hizo kwa manufaa yake binafsi ikiwa katiba inaeleza anaehusika na masuala ya fedha ni nani?

hakuna namna fisadi na muuaji heche anaweza kukiepuka kikombe hiki, ispokua kuachia ngazi 🐒
 
kulikoni michango ya pesa za chama ziingizwe kwenye akaunti binafsi ya heche?

na kwanini baadhi ya michango kwaajili ya chama aliyoipokea Heche hakuiwasilisha chamani na badala yake akaanza kutumia fedha hizo kwa manufaa yake binafsi ikiwa katiba inaeleza anaehusika na masuala ya fedha ni nani?

hakuna namna fisadi na muuaji heche anaweza kukiepuka kikombe hiki, ispokua kuachia ngazi 🐒
Wawekee ushahidi ili waone kuwa ubahatishi
 
Ikiwa ni hivyo,
kulikoni sasa michango ya pesa za chama iingizwe kwenye akaunti binafsi ya heche ?

na kwanini baadhi ya michango kwaajili ya chama aliyoipokea Heche hakuiwasilisha chamani na badala yake akaanza kutumia fedha hizo kwa manufaa yake binafsi ikiwa katiba inaeleza anaehusika na masuala ya fedha ni nani?

hakuna namna fisadi na muuaji heche anaweza kukiepuka kikombe hiki, ispokua kuachia ngazi 🐒
propoganda
 
Kwahiyo wale ambao mmejichotea mihela ya Abdul basi jaribuni kutunga UONGO mwingine ili mueleweke

Mali za Chadema zikiwemo hela ziko Chini ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Baraza la Wadhamini na si vinginevyo

UJUMBE: Hakuna kitabu chochote Kitakatifu kilichowahi kuelekeza Maridhiano na Shetani
Serikali inayoogopa maandamano Ina lipi la kujivunia???
 
Ikiwa ni hivyo,
kulikoni sasa michango ya pesa za chama iingizwe kwenye akaunti binafsi ya heche ?

na kwanini baadhi ya michango kwaajili ya chama aliyoipokea Heche hakuiwasilisha chamani na badala yake akaanza kutumia fedha hizo kwa manufaa yake binafsi ikiwa katiba inaeleza anaehusika na masuala ya fedha ni nani?

hakuna namna fisadi na muuaji heche anaweza kukiepuka kikombe hiki, ispokua kuachia ngazi 🐒
Screenshot_20260617-221102~2.png
 
Kwahiyo wale ambao mmejichotea mihela ya Abdul basi jaribuni kutunga UONGO mwingine ili mueleweke

Mali za Chadema zikiwemo hela ziko Chini ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Baraza la Wadhamini na si vinginevyo

UJUMBE: Hakuna kitabu chochote Kitakatifu kilichowahi kuelekeza Maridhiano na Shetani
Mkuu huyo Mchome kwani hafahamiki? Ni mamlukiwa siku nyingi. Sijui kama kuna source nyingine inalalamika lakini najua sasa hivi kuna kampeni kali sana ya kuchonganisha viongozi wa CHADEMA. Nimeona mpaka Hilda Newton ameingia mkenge na kuandika eti kuna viongozi wa CHADEMA wamechykuwa fedha ya Abdul na wanataka kumwondoa Heche. Analenga kina Lema, Sugu na Bon yai. TISS kazini.....-
 
Ikiwa ni hivyo,
kulikoni sasa michango ya pesa za chama iingizwe kwenye akaunti binafsi ya heche ?

na kwanini baadhi ya michango kwaajili ya chama aliyoipokea Heche hakuiwasilisha chamani na badala yake akaanza kutumia fedha hizo kwa manufaa yake binafsi ikiwa katiba inaeleza anaehusika na masuala ya fedha ni nani?

hakuna namna fisadi na muuaji heche anaweza kukiepuka kikombe hiki, ispokua kuachia ngazi 🐒
Una uhakika ulioandika? Tuache propaganda tujenge tz yetu. Vyama vitakuf a na watu watakufa lkn tz itabaki
 
Ikiwa ni hivyo,
kulikoni sasa michango ya pesa za chama iingizwe kwenye akaunti binafsi ya heche ?

na kwanini baadhi ya michango kwaajili ya chama aliyoipokea Heche hakuiwasilisha chamani na badala yake akaanza kutumia fedha hizo kwa manufaa yake binafsi ikiwa katiba inaeleza anaehusika na masuala ya fedha ni nani?

hakuna namna fisadi na muuaji heche anaweza kukiepuka kikombe hiki, ispokua kuachia ngazi 🐒

Kaka uko ccm mambo ya chadema unayajuaje? 😄
 
Back
Top Bottom