Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.

Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kuwa DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

Inamaana nasari ndio kafanya hivi?
 
hii ofisi ni ya lini mbna hata hamna mabati yalioanguka
 
Mkuu huyo ni 'NASSARI', ndiye anayeshiriki kuisulubisha CHADEMA?

Huyo Nassari, si nasikia amesoma, ana elimu ya kutosha, hadi Marekani kafika? Sasa elimu yake inamsaidia kitu gani?

Hilo jengo lina kosa gani, hadi Kamati ya ulinzi ijihusishe nalo? Hiyo kamati ndio mahakama? Imeamuliwa mahakamani kwamba hilo jengo kwa sababu maalum linatakiwa livunjwe?

Huko kuvunja jengo, ndiko kuvunja mapenzi ya ya waliolijenga kwa chama chao, au nao ataanza kuwabomoa!

Hizi ni dalili za kuwepo mageuzi makubwa yanayokuja karibuni. Mambo ya namna hii hayatokei bila sababu.
 
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.

Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kuwa DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

Huyu atalipa tu hamna shida
 
Hakuna picha nyingine?

Mbona kama choo za stendi ya mabasi? Samahani lakini, ila nineshindwa kuielewa ofisi iliyovunjwa ni ipi?
 
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.

Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kuwa DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

Wakurya mnaniangusha hebu mshughulikieni huyo shoga wa kimeru
 
29E018D8-F912-4A93-A8FE-B7D68B462059.jpeg

EE5D0CA2-C678-46A2-BE01-2E90FAAF52C2.jpeg
 
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.

Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kuwa DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

Mbona umepiga picha kimagumashi, hiyo kifusi ndio ilikuwa ofisi ya wilaya?
Je DC kaamuru ivunjwe bila sababu za msingi?
Jifunze kutoa taarifa zilizokamilika!
 
Back
Top Bottom