Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

..,Narudia, CHAWA Utawajua TU!...Hayo MAJIBU ya Waziri wa Elimu na Waziri wa Afya, Yana jipya Gani ambalo hatujakusikia huko Nyuma kiasi kwamba yamekuwa kama Santuri iliyokwama na inajirudia rudia na haiendi mbele?? Fungus Macho !...!!!
Umeishakunywa chai Ndugu?
 
Jengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )

Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.

"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"

OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.

View attachment 2628286
Ikulu ya dodoma imejengwa na Magufuli na siyo samia
 
...Unakuwa Wajibu Wetu vipi wa Kumuombea Kwa Mungu kama haendeshi Nchi Vizuri ??[emoji848]
Ungeweza Kumuombea mema Kwa Mungu Iddi Amina Dada wa Majirani ?? [emoji848][emoji848]
Yes mkuu
Usipomuombea kwa Mungu amlinde na kumuongoza jiandae kuishi kama mkimbizi kwa sababu shetani atashika usukani kumuongoza.

Iddi Amin alikuwa adui wa Nyerere hadi kuwa adui wa Taifa.

Mungu anawanyeshea mvua za baraka wema na wabaya
 
Good point
 
...Na tunaaminishwa kuwa ni Nchi ya ' Amani, Utulivu na Mshikamano'!
Nchi wanazouana Ovyo kama Marekani Ikulu ni Mahali pa Wananchi kutembelea na kupiga picha za Ukumbusho.kwenye Fence yake. Jaribu Tanzania....!!?
Amani ya Tanzania imejengwa kupitia uoga na hofu zinazopandikizwa kwa wananchi
 
Ulitaka lijengwe kama kanisa la zumaridi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nacheka nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni maajabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom