MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,706
- 4,923
Jengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.