Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,545
- 81,366
Jengo linaloleta kumbukumbu za utumwa wa waafrica kwa mwarabu.Kabisaa,utadhani msikiti
Jengo linaloleta kumbukumbu za utumwa wa waafrica kwa mwarabu.Kabisaa,utadhani msikiti
CDM bhana! Yani nyie KILA kitu mnalalamika! Hamna jema!!! DaahPale Magogoni ikulu ikageuzwa kuwa isolated area ambapo hata kupita pembeni ya ukuta iligeuzwa kosa la jinai. Barabara ya Barack Obama imefungwa imegeuka private road......
Yaani nchi hii raia wamegeuka kuwa adui namba moja wa serikali.
Haya mambo yalianzia kwa JK na baadaye JPM ndo kabisaa hali ikawa tete
Swali lako linaashiria wewe ni chekechea wa juzi. ngoja kazi hiyo niwape wengineUna umri gani Ndugu?
Sure!sijui kulikuwa na haja gani kuenzi huo utumwa.....Watanzania hatuwazi nje ya boxJengo linaloleta kumbukumbu za utumwa wa waafrica kwa mwarabu.
A very good observation! kama magofu ya waarabu wa KilwaAisee haijanivutia,Kama masjid nurat
Ndio maana inazinduliwa nyingine. Na leo utamsikia Mhe. Rais atakavyoikemeareally? ......kusingekuwa rushwa
Aaah sio kweli bhana!! Msikiti tena!!! Ukorofi huo!!!Kabisaa,utadhani msikiti
Sio WazalendoHivi nyie mnaosemaga Kenya imeizidi Tanzania huwa mmelogwa au?
Ni kweli! Jamaa alikua KICHWA.Legacy ya magufuli itaishi miaka mingi sana;
Bado wanauenzi utumwa wa Mwarabu.....Ila Cha kushangaza Mwarabu mwenyewe keshaachana na huu ujenzi huko kwaoA very good observation! kama magofu ya waarabu wa Kilwa
Mlitaka ijengwe kwà Tembe?Jengo linaloleta kumbukumbu za utumwa wa waafrica kwa mwarabu.
really, kwamba yeye ni mtakatifu sana?.....wake up! inaonekana unaona ndoto za saa tatu asubuhi badala ya kuamka kwenda jobNdio maana inazinduliwa nyingine. Na leo utamsikia Mhe. Rais atakavyoikemea
Daaah [emoji23][emoji23][emoji23] kuweni Wazalendo hata kidogo basi!!Aisee haijanivutia,Kama masjid nurat
design ya msikitiJengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo (Siku ya Sita ya Juma) na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa tu na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
View attachment 2628286
baada ya hapoFrancis Hutcheson (1694 - 1746 CE). Beauty is subjective - it is based on the experience of pleasure that we have when we look at or listen to certain things. There are two types of beauty - Absolute Beauty, the kind of beauty to be found in nature, and Relative Beauty, the beauty that characterizes art.
Hapa duniani kulikuwepo watu ambao bado akili zao zinafikiria sawasasa kwa kadri zilivyo barikiwa tangu tumboni. Sasa hivi tunaacha teknolojia ifikirie kwa niaba yetuView attachment 2628292View attachment 2628293View attachment 2628294
Victorian Architecture. Miaka 200 iliyopita. Sisi tunakuja kujenga pagala halafu gharama yake sasa unaweza kuzirai
Ndio maana eneo lake Ni KUBWA wataokuja miaka ijayo wataliongezea au kujenga jingine pia Kuna mengi ya Siri huwezi jua yapo ndani.Hili ni jengo zuri sana. Usilichukulie poa!