MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
- Thread starter
- #121
NjeIpo Wapi ?
NjeIpo Wapi ?
Sio kweli bhana!!!Miti imegoma kabisa kuota hapo?
FactMiti ni Reflection ya Uhai, na ikulu kuwa na Miti ingependeza sana
Miti ni reflection ya Uhai, Uzima na Afya.Miti ni Reflection ya Uhai, na ikulu kuwa na Miti ingependeza sana
Kwahiyo unataka kusema mazingira ya Ikulu ni Sawa na Jangwa Mkuu?Unahubiri usichokisadiki, nje ipi ?
Green city sio 😅Dodoma ya sasa sio kama ya zamani. Now ni Green city kama ulikua hujui.
Karibu Dodoma
Kwahiyo unataka kusema mazingira ya Ikulu ni Sawa na Jangwa Mkuu?
Aah sio kweli bhana!!!
TFS wamepanda miti mingi sana .....nafikiri hiyo rekodi yako ni ya zamani sana.Green city sio [emoji28]
Mkoa unaorekodi kiasi cha mvua 600mm kwa mwaka
Asante sana kwa mwaliko
Unataka kusema nini kuhusu huyo waziri kwamba sasa kila mwanafunzi anakaa kwenye dawati na hakuna mwanafunzi anasomea chini ya mti?Ulikua unafuatilia Bunge? Je ulifuatilia majibu ya WAZIRI wa ELIMU na ya WAZIRI wa AFYA Da' Ummy? Ujue nyie CDM vichwa vyenu sijui vikoje....mnapenda kukandia KILA kitu....midomo kama kichungi...
Sawa hongereni green city DodomaTFS wamepanda miti mingi sana .....nafikiri hiyo rekodi yako ni ya zamani sana.
Mbona jangwa? Wameshindwa hata kupanda miti? Toka ilipoanza ujenzi mpaka Sasa pangekuwa na miti inayokua!Jengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 (Siku ya Sita ya Juma) na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
Note: Kama kuna wahusika, wanapitia huu uzi , tafadhali naomba wanicheki inbox , wanialike Ikulu nami nikaupate ubeche. Nafuatilia hapa via TV Clouds ( Kumedamshi sana ) #Nipo Kijijini Chamwino hapa nasubiria fungulia dog kama litakuepo.
View attachment 2628286
Una uhakika kuna wanafunzi wanasomea chini ya miti?Unataka kusema nini kuhusu huyo waziri kwamba sasa kila mwanafunzi anakaa kwenye dawati na hakuna mwanafunzi anasomea chini ya mti?
Mpaka uwe MzalendoInabidi nije kuishi humo siku moja
Shukurani sanaSawa hongereni green city Dodoma
...Na tunaaminishwa kuwa ni Nchi ya ' Amani, Utulivu na Mshikamano'!Pale Magogoni ikulu ikageuzwa kuwa isolated area ambapo hata kupita pembeni ya ukuta iligeuzwa kosa la jinai. Barabara ya Barack Obama imefungwa imegeuka private road......
Yaani nchi hii raia wamegeuka kuwa adui namba moja wa serikali.
Haya mambo yalianzia kwa JK na baadaye JPM ndo kabisaa hali ikawa tete
Huku Chamwino Dodoma, wapo free. Hawana shida kabisa. Na kwà hapa nje kuna Garden...Na tunaaminishwa kuwa ni Nchi ya ' Amani, Utulivu na Mshikamano'!
Nchi wanazouana Ovyo kama Marekani Ikulu ni Mahali pa Wananchi kutembelea na kupiga picha za Ukumbusho.kwenye Fence yake. Jaribu Tanzania....!!?
...Unakuwa Wajibu Wetu vipi wa Kumuombea Kwa Mungu kama haendeshi Nchi Vizuri ??[emoji848]Hata kama haendeshi nchi vizuri, ni wajibu wetu kumuombea kwa Mungu amuongoze na kumlinda kiongozi wetu kwani yeye ndiye hutoa ulinzi na hekima