Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Wapo wengi tu huko Geita na kwingineko. Watu wangapi wanakufa kwa kukosa hata dozi ya malaria tu? Ni wengi najua hilo. Akina mama wangapi wanajifungulia njiani kwasababu vituo vya afya vipo mbali mno na miundombinu ni mibaya?
Ndugu, mambo mengine ni gradual process. Huwezi kufanya yote ukayamaliza kwà wakati mmoja. Kila siku mambo yanabadirika...na Serikali ya Mama SAMIA inajitahidi sana KILA kukicha kuhakikisha hizi kero na changamoto zinafanyiwa Kazi.

Tushukuru kwà hii hatua tuliyofikia , na tuendelee kumsupport Rais wetu kwà kuwa Wazalendo, Waaminifu, Watiifu na Wanyenyekevu....kwà kufanya Kazi kwà Bidii na kwà kulipa Kodi pasipo shuruti.
 
Ndio maana Tunasema wangeweza buni vitu tofauti,hizo tembe wangeweza kuweka in a modern ways Sio lazima iwe ya udongo....
Unaweza kuniambia japo vitatu tu Katika hivyo vingi walivyoconsider?hapo Lengo kuu ulishaniambia mwanzo ni restoration ya utawala,Sasa utawala wa waarabu kwa Nini tuufanyie restoration kwenye kizazi chetu Cha kitanzania?una tija gani kwa taifa....wangeendelea kurestore Yale majengo yaliyokuwepo tayari Sio kuendelea kuyajenga mapy....
Hata Ukienda falme za kiarabu majengo na design ni mpya Sasa sisi hiyo Said Seyyid Barghash inatukumbusha Nini?
Hao wataalamu wajiongezege basi Sio wanakula posho tu.
 

Ikulu si patakatifu bwana,sema ni sehemu kuu ya ulaji ,umimi,ufalme ndo maana Nyerere alikaa miaka 23 hakutaka kuondoka.Hadi alipoona afya yake inakuwa mgogoro ndo akaachia na wengine.
 
Ikulu si patakatifu bwana,sema ni sehemu kuu ya ulaji ,umimi,ufalme ndo maana Nyerere alikaa miaka 23 hakutaka kuondoka.Hadi alipoona afya yake inakuwa mgogoro ndo akaachia na wengine.
Ikulu ni mahala patakatifu, na ndipo ilipo madhabahu ya Serikali.

Na ndio maana inalindwa sana kuliko hata Rais alindwavyo.
 
Huna akili
 
Ulikua unafuatilia Bunge? Je ulifuatilia majibu ya WAZIRI wa ELIMU na ya WAZIRI wa AFYA Da' Ummy? Ujue nyie CDM vichwa vyenu sijui vikoje....mnapenda kukandia KILA kitu....midomo kama kichungi...
..,Narudia, CHAWA Utawajua TU!...Hayo MAJIBU ya Waziri wa Elimu na Waziri wa Afya, Yana jipya Gani ambalo hatujalisikia huko Nyuma kiasi kwamba yamekuwa sasa kama Santuri iliyokwama na inajirudia rudia na haiendi mbele?? Fungua Macho !...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…