Jengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 (Siku ya Sita ya Juma) na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
View attachment 2628286