Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Sure!sijui kulikuwa na haja gani kuenzi huo utumwa.....Watanzania hatuwazi nje ya box
Wewe ulitaka ijengwe kwà namna gani?

Maana hata kama ingejengwa kwà wazo lako....wengine wangesema imejengwa Kijerumani, au Kireno...au Kiingereza....

Tuweni Wazalendo na Nchi yetu pls
 
Wewe ulitaka ijengwe kwà namna gani?

Maana hata kama ingejengwa kwà wazo lako....wengine wangesema imejengwa Kijerumani, au Kireno...au Kiingereza....

Tuweni Wazalendo na Nchi yetu pls
Hapana,kujenga ikulu Kama masjid hajakaa poa.....kwani Hawa ma architecture Kwa Nini wasibuni design mpya?Kuna haja gani ya kung'ang'ania ukoloni?
 
Kabisaaa......mfano zile hotel zinaezekwa nyasi au makuti,huwa zinavutia kuliko Huo u slave trade hapo
Watu walale kama wapo ngurudoto hotel sio? Ikulu iezekwe nyasi? Kioo chenyewe hapo nadhani ni two layers capable of stopping a bullet na kama hawajafanya hivyo basi siku zijazo watalazimika kufanya hivyo. Nakumbuka kiongozi mkubwa wa USA alipokuja walinzi wale walikuja na vifaa maalumu vya kukinga risasi isipenye kwenye vioo kwenye hotel/room aliko fikia
 
Yaani hata architects wa Victorian age wasinge design utopolo kama huu
Wewe huna Elimu ya architecture archaeology. Hapo kimefanyika kitu ambacho kinaitwa restoration. Aingawa kulikua hakuna jengo kama hilo hapo chamwino lakin ili kutunza history ya utawala kumerudiwa the same structure lakin in modernity. Hapo kila kitu cha kisasa.ingekuwa sawa unawaza majengo ya ghorofa vioo n.k basi Venice wana akil na hela nying tu ila nenda ukaone historic architecture ya Venice na jins inavyouza dunian.
 
Watu walale kama wapo ngurudoto hotel sio? Ikulu iezekwe nyasi? Kioo chenyewe hapo nadhani ni two layers capable of stopping a bullet na kama hawajafanya hivyo basi siku zijazo watalazimika kufanya hivyo. Nakumbuka kiongozi mkubwa wa USA alipokuja walinzi wale walikuja na vifaa maalumu vya kukinga risasi isipenye kwenye vioo kwenye hotel/room aliko fikia
Sijamaanisha ijengwe Kama ngurudoto,,,nimemaanisha Ngurudoto inavutia kuliko hiyo...wangeweza kubuni mijengo mingine hivi Kuna ulazima gani wa kujengwa hiyo colonial design?
 
Back
Top Bottom