Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Miti ipo ya kutosha, na maua yapo ya kutosha. ( Ordinary ...ambayo sio mageni kwetu )

Nashauri, kwenye department ya mazingira kuwepo na mtu mtundu wa kuwa anakwenda kutafuta species adimu za maua na miti,...ili mazingira ya Ikulu yawe extraordinary
Sijaiona hiyo miti na maua unayosema

Si umeona hii ya Gogoni ilivyonoga kuzungukwa na miti na maua

Ila Dom napo kukame sana aisee
 
Kupoteza fedha bure, hapakuwa na sababu ya msingi kuhamia Dodoma. Sababu za zamani zilizotolewa kuhamia Dodoma hazina maana tena leo katika digital world!
Mimi binafsi naona ni jambo jema sana, Dodoma ishaanza kuwa mji wenye pilika nyingi, halafu utakuja kuwa mji mkubwa sana, nchi kubwa kama yetu inapendeza tukiwa na miji mingi mikubwa, sio tunakuwa na mji mmoja tu ndio una ukubwa wa mara tano kuliko miji yote
 
Yule jamaa alie sema tuamie burundi alkua n amaana yake kumbe
1886195375.jpg
1972979861.jpg
438749583.jpg
 
Mimi binafsi naona ni jambo jema sana, Dodoma ishaanza kuwa mji wenye pilika nyingi, halafu utakuja kuwa mji mkubwa sana, nchi kubwa kama yetu inapendeza tukiwa na miji mingi mikubwa, sio tunakuwa na mji mmoja tu ndio una ukubwa wa mara tano kuliko miji yote
Nimewahi kufika Cameroon

Kule kuna mji unaitwa YAOUNDE ( Mji wa Kiserikali ) na mwingine unaitwa DOUALA ( Mji wa Biashara )

Nafikiri na sisi TZ sasa tutakua kama wao.
 
Wanafunzi hawana madarasa, madawati hakuna, vituo vya afya hakuna mnakwenda kujenga bonge la ikulu kwa fedha za mkopo kwaajili ya nini?
Ulikua unafuatilia Bunge? Je ulifuatilia majibu ya WAZIRI wa ELIMU na ya WAZIRI wa AFYA Da' Ummy? Ujue nyie CDM vichwa vyenu sijui vikoje....mnapenda kukandia KILA kitu....midomo kama kichungi...
 
Back
Top Bottom