Jenerali Ulimwengu na gazeti Jipya

Jamani mmenikumbusha kisa cha yule bibi wa Titanic ("a woman's heart is like an ocean, full but full of secrets"). Kama Jenerali angeamua kufungua moyo wake, akatueleza yaliyomkuta nadhani tungepata mafunzo mengi. Labda tumshauri atuandikie walau kurasa kidogo za kitabu ili tusome na pia wajukuu zetu siku moja wapate kuona jinsi binadamu alivyokuwa mnyama hatari. Jaribu kufikiria, mtu alikuwa DC (rais wa wilaya), MP n.k halafu anaambiwa hana chake. Tumshukuru Mungu kwamba hakupata ugonjwa wa moyo (kweli rafiki yako ndiye adui yako ..by Mr. Nice).
 
Hebu Chukulia leo hii USIKIE CHECHE na KLH News yako mikononi wa Lowasa+RA, tutamwitaje mwanakijiji? Sitakuwa kama bw MDOGO Zito Kabwe
Mr Down alivyotutia vidole machoni?

Naombeni tujadfili nini hasa kilimsukuma huyu ulimwengu kufanya aliyoyafanya.

Nawasilisha.

aisee mbona tunataka kutibuliana tena; sasa la EL na RA wakitaka kuwekeza kwenye CHeche au KLHN na mimi nikadeclare interests si tutakuwa tumesolve problems kubwa tu. Au siwezi kuwauzia hawa kama kweli nahitaji fedha maana benki kukopesha mswahili kama mimi itakuwa vurugu.

Kama tunaweza kununua majenereta ya Dowans licha ya kujua yameingia kifisadi kwa vile tuna mahitaji kuna ubaya gani kwa mjasiriamali kama mimi kupokea ofa ya uwekezaji kutoka kwa wafanyabiashara? Shoot.. wamesema baniani mbaya...
 
Mkuu kwa chati uliyokwishajenga, huna haja ya kuuza Cheche. Unaweza kujiuza mwenyewe na kupata dola ($) za nguvu. Hukuona jinsi vijana wanavyochangamkia tenda? Kabour nasikia dau lake likuwa zaidi ya $50000. Sijui Zitto atakuwa amepokea kiasi gani. Mwendo mdundo mkuu, inaweza kuwa ndo zamu yako imefika!!
 
Jamani mmenikumbusha kisa cha yule bibi wa Titanic ("a woman's heart is like an ocean, full but full of secrets"). Kama Jenerali angeamua kufungua moyo wake, akatueleza yaliyomkuta nadhani tungepata mafunzo mengi. Labda tumshauri atuandikie walau kurasa kidogo za kitabu ili tusome na pia wajukuu zetu siku moja wapate kuona jinsi binadamu alivyokuwa mnyama hatari. Jaribu kufikiria, mtu alikuwa DC (rais wa wilaya), MP n.k halafu anaambiwa hana chake. Tumshukuru Mungu kwamba hakupata ugonjwa wa moyo (kweli rafiki yako ndiye adui yako ..by Mr. Nice).

______________________________

DARK CITY: Nakubaliana nawe. Nadhani mawazo yako yawe ushauri kwa wahariri wanaoheshimka wamuombe interview kuhusu yaliyomfika. Na kama mkweli kabisa ataeleza yote ,na bila shaka yatakuwa ya kusisimua.
 
Jenerali Ulimwengu, inasemekana alikuwa akipewa hela na Kagame kuendesha shirika hilo, alipoanza kumtukana BM, BM alimuonya Kagame kuwa aache huo mchezo baada ya Ulimwengu kumtukana sana BM, matokeo kampuni ikaanza kusinzia ndipo Ra akainunua kwa bei poa!

Hayo yalizungumzwa humu JF Novemba, 2006.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/806-lowassa-viongozi-wapo-au-ni-mauzauza-9.html

Ni vizuri wajumbe tukawa na utaratibu wa kujisomea hususan thread za nyuma; kuna mengi ya kujifunza. Binafsi nimejifunza mengi JF kwa mfumo huo.

Anyway ni mtazamo tu.

NN
 
Kutokana na mwenendo unaoendelea sasa hivi wa ufisadi ulio kubuhu unaosaidiwa kwa kiwango kikubwa na magazeti, nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu uungwana wa Jenerali ulimwengu kuunguza magazeti yake kwa mafisadi.

Kitu gani hasa kilimfanya Jenerali auze magazeti yake kisha baadaye aanzishe gazeti jingine? Alisukumwa na roho gani hasa?. Yeye ndiye aliwafuata wanunuaji au wanunuaji ndio walimfuata.? Hakujua lengo lao? Kwani nini aliyacha haya magazeti ambayo yamegeuka kinyaa machoni pa wananchi.?

Naamini kama RA angenzisha gazeti jipya isingekuwa rahisi kuchipua. Mimi binafsi ilinichukua mda kujua kama Generali kisha uza magazeti yake, inaonyesha aliuza kimya kimya. Si usaliti mwingine kweli. Gazeti pendwa la RAI leo hii liko chini ya RA, kweli ni sawa?

Hebu Chukulia leo hii USIKIE CHECHE na KLH News yako mikononi wa Lowasa+RA, tutamwitaje mwanakijiji? Sitakuwa kama bw MDOGO Zito Kabwe
Mr Down alivyotutia vidole machoni?

Naombeni tujadfili nini hasa kilimsukuma huyu ulimwengu kufanya aliyoyafanya.

Nawasilisha.

Alianzisha magazeti ili apate hela na kama kaletewa pesa na ana uwezo wa kuanzisha mengine kwanini asiuze? Wabongo wanaangalia maslahi kwani hata wapiganaji wanazitafuta aidha kwa kununuliwa au kuanzisha miradi tutakayopata faida kutoka jasho la wananchi.
 
Tangu RA achukue Habari Corporation... Leo ndio nimenunua RAI (ROSTAM AZIZ INTELGENCE)..Hamna lolote... Sinunui tena... Khaaaaaaaaaaaaa....
 
Jamani mmenikumbusha kisa cha yule bibi wa Titanic ("a woman's heart is like an ocean, full but full of secrets"). Kama Jenerali angeamua kufungua moyo wake, akatueleza yaliyomkuta nadhani tungepata mafunzo mengi. Labda tumshauri atuandikie walau kurasa kidogo za kitabu ili tusome na pia wajukuu zetu siku moja wapate kuona jinsi binadamu alivyokuwa mnyama hatari. Jaribu kufikiria, mtu alikuwa DC (rais wa wilaya), MP n.k halafu anaambiwa hana chake. Tumshukuru Mungu kwamba hakupata ugonjwa wa moyo (kweli rafiki yako ndiye adui yako ..by Mr. Nice).

Jenerali angeweza kufungua yaliyo moyoni mwake tungesikia mengi. Tungesikia vile Mkapa alivyomtumia vijana wa UWT kumpiga makonde nyumbani kwake.
 
Partners wake wawili -- Salva Rweyemamu na (Dr?) Gideon Shoo walikuwa wanampiga vita kichinichini -- na inasemekana wao hawa ndiyo walichochea/walimchongea kwa serikali kuhusu utata wa uraia wake na hivyo kunyang'anywa uraia kwa muda fulani.

Walishinikizwa kufanya hivyo na RA pamoja na fisadi mwenzake EL ili kama Jenerali angefukuzwa nchini kwa sababu ya kutokuwa raia, basi wao wangebaki warithi wa hayo magazeti na yangetumiwa kukamilisha ajenda yao ya kuununua urais.

Suala la "uraia" liliposhindikana, basi Salva na Shoo wakaanza kuitafuna kampuni polepole, kwanza bila ya Jenerali kujua, kwani aliwaamini sana -- na alipowashitukia, akakuta muflisi. Ikabidi atafutwe mnunuzi wa haraka -- na hivyo RA akapatikana kwani alikuwa tayari anazo pesa za kagoda.

Naamini kabisa Jenerali alilazimika kuuza kampuni ama sivyo ingekufa kabisa na katika hali ya kawaida asingemuuzia fisadi RA.

Wewe ni mtungaji mzuri na kwanini RA asikufate hata hivyo nimeipenda tungo yako.
 
NI kweli , kutokana na chuki yake kwa Mkapa, Jenerali alikuwa anamsapoti sana JK, lakini kwa kusoma makala zake sidhani kama anaendelea kumsapoti...
Hapo sasa hata yeye Jenerali nitamuangalia kwa macho manne maana kama hamsapoti tena JK leo wakati manzo alimsapoti. yeye ndiye mwenye makosa na yote yanayomkuta wacha yamkute.

Mimi ninakumbuka sana jinsi huyu huyu Jenerali alivyompamba sana BWM wakati akigombea ili achaguliwe. Na alipochaguliwa wakawa maadui kiasi alinusurika kupelekwa Rwanda ingawa kwa kweli si kwao.

Na alipokuwa anagombea JK alimpamba vile vile? samahani kumbu kumbu zangu zimeanza kuingia dosari! Na kama alimpamba sana na leo anamuona maji taka. Basi na yeye Ulimwengu atakuwa ana kasoro fulani!
 
Naomba nilete hoja mkuu, ya kuwa Jenerali ni binadamu kama sisi sote, at a given point in time aliona JK anafaa, kwani alikuwa peke yake. 80% ya watz walimpigia kura, au siyo? Sasa inapogundulika kuwa the person is not who you thought he is, si una haki ya kubadili mawazo? Na haki hii ipo kwa Jenerali kama ilivyo kwako, kwangu na mtu mwingine yoyote.
Ulimwengu si Mungu si mtabibu - what we may hold against him is that he has bad judgment?
 
Ni msukumo wa kibiashara, halina ubaya na sio usaliti, kapata mshiko kaanzisha gazeti lingine, wakati RAI inashuka la kwake jipya linapanda, ukitaka punda au mlio sawa, cha muhimu ni ujumbe sio lazima tusome Rostam Aziz Intelligency (RAI).

Hata Umeona GENERAL ON MONDAY inaitwaje sasa hivi?

Du umenimaliza na hicho kirefu cha RAI- ROSTAM AZIZ INTELIGENCY
 
katika hoja nzito za mapambano dhidi ya ufisadi, kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na maazimio! kwa mfano kuwaelimisha wananchi kususia kununua magazeti na huduma zinginezo zitolewazo na makampuni yanayomilikiwa na mafisadi ikwemo vodacom.mimi nimekwishaanza sisomi magazeti ya habari corp pia nimejiondoa vodacom. tujaribu inawezekana na ujumbe utafika!
 
Naomba nilete hoja mkuu, ya kuwa Jenerali ni binadamu kama sisi sote, at a given point in time aliona JK anafaa, kwani alikuwa peke yake. 80% ya watz walimpigia kura, au siyo? Sasa inapogundulika kuwa the person is not who you thought he is, si una haki ya kubadili mawazo? Na haki hii ipo kwa Jenerali kama ilivyo kwako, kwangu na mtu mwingine yoyote.
Ulimwengu si Mungu si mtabibu - what we may hold against him is that he has bad judgment?

Mimi sioni kama kuna tatizo. Watu wengi pia humu JF wamesema sana kuhusu hili. Binadamu mwenye akili inayofanya kazi vizuri ni lazima awe dynamic. Ndo maana si lazima maoni yako ya leo yawe hivyo hata kesho. Kwa hiyo kama Generali alimpa support lakini akagundua kuwa JK hamna katu (kama ilivyowatokea wengi waliongizwa mkenge kumpatia 80%) anayo haki kubadili mtazamo wake. Labda kama anazo sababu nyingine hasa hasa za kimaslahi zilizomfanya abadili mtazamo wake.
 
I agree 100%.

Hata Nyerere alimsapoti Mkapa. Lakini kwa mambo aliyoyafanya Makapa sidhani kama Nyerere angekuwa hai angeendelea kumsapoti!

Only fools will never change their minds!
 
Hivi nauliza Generali kajitoa Channel Ten kwenye kipindi chake cha Jeneral on Monday wiki ya pili sasa simuoni au kachoka politik
 
Hivi nauliza Generali kajitoa Channel Ten kwenye kipindi chake cha Jeneral on Monday wiki ya pili sasa simuoni au kachoka politik

NiIlisikia mahali katika media kuwa yuko nje ya nchi. Atakuwa ameenda ku-reboot akili maana Bongo ni frustration tuuu!
 
Naomba nilete hoja mkuu, ya kuwa Jenerali ni binadamu kama sisi sote, at a given point in time aliona JK anafaa, kwani alikuwa peke yake. 80% ya watz walimpigia kura, au siyo? Sasa inapogundulika kuwa the person is not who you thought he is, si una haki ya kubadili mawazo? Na haki hii ipo kwa Jenerali kama ilivyo kwako, kwangu na mtu mwingine yoyote.
Ulimwengu si Mungu si mtabibu - what we may hold against him is that he has bad judgment?

Susuviri,
Sina shida na maoni yako mkuu ila shida yangu iko pale tunapotumia muda mwingi tukiwa kwenye tatizo kuliko kutumia muda mwingi kumtafiti mtu kabla ya kuingia katika tatizo.
Jenerali mara zote hakuwahi kufanya research na kutumia inteligency yake kuwa na hakika ya watu anaowapigia debe.
Siku zote basi inaelekea amekuwa akipiga debe kwa kufuata mkumbo wa wa tz wengine. Atabaki anajilaumu kwa filimbi alizowapigia hawa watu akiwaita wakombozi wa kweli kumbe sivyo on a ground kwamba wa tz wengi (i.e 80 %) wanawa support.
Yeye alitakiwa kuwaonya wengine baada ya kuwa na utafiti wa ukweli wa mambo na asingetumia media zake ku support. Here he is now. Crying and kicking everything he sees in front of him.
Jamani wakati wa uchaguzi nilikuwa sijaifahamu hii forum lakini mbona kwa mwenye akili nzuri alijua tu kwamba watanzania wengi wameingizwa mkenge?
Binafsi nilionya watu wengi waliokuwa wanampa support JK kwamba huyu ni mhuni tu na tutajuta huko mbeleni. Hawa ni pamoja na wazazi wangu ambao walikuwa ni wana SISI M wazuri tu bila sababu. Leo wote wanajuta ingawa wengine wametangulia mbele ya haki. Lakini wamekwenda wakiwa na majuto haya haya. Na nataka niwatahadhalishe wana jf kwamba msikubali tu kwamba asilimia hiyo ya watanzania walimkubali kweli. Hapana hapa kuna na ka propaganda ka kisiasa wajameni.
Nitashangaa kama Jenerali na ujanja wake wote wa kisiasa naye aliingia mkenge. Labda kama na yeye alikuwa opportunist na sasa amegundua things are not in his favour.
 
Back
Top Bottom