Jenerali Ulimwengu na gazeti Jipya

I agree 100%.

Hata Nyerere alimsapoti Mkapa. Lakini kwa mambo aliyoyafanya Makapa sidhani kama Nyerere angekuwa hai angeendelea kumsapoti!

Only fools will never change their minds!

Wewe unadhani Nyerere kwa Mkapa hakukosea? Nakwambia hata yeye alikosea kosa la wazi. Sawa na Jenerali. Sijui haya ni makosa ya wana SISI M wote? may be kwao jicho kipofu uliita kengeza.
 
Wewe unadhani Nyerere kwa Mkapa hakukosea? Nakwambia hata yeye alikosea kosa la wazi. Sawa na Jenerali. Sijui haya ni makosa ya wana SISI M wote? may be kwao jicho kipofu uliita kengeza.

Kuna suala la kukosea na maslahi binafsi (maslahi binafsi siyo pesa tu hata kumweka mtu unayempenda wewe madarakani). Akina Ulimwengu siyo kwamba walikosea bali walikuwa na agenda ya kuwaweka marafiki zao. Kitu walichosahau ni kwamba ukimsaidia mtu akachukua madaraka, akishachukua anakuwa bosi na inabidi umsikilize hata kama zamani yeye ndiyo alikuwa anakusikiliza. Kwa hiyo siyo kwamba wamegeukwa ila wao wanachanganyikiwa na mgeuko huo wa uhusiano. Wao wangefanya kazi yao kwa maadili wakatuwekea JK na wengine katika mizani sawa tukawapima na kuchagua sasa hivi wangekuwa wanaheshimika na kusikilizwa. Lakini walitumiwa wakatumika sasa wanataka kusikilizwa. Tangu lini mtu wa kutumika akasikilizwa? Na hiyo siyo kwao tu bali kwa wataalamu wetu wengi na hilo linafanya wanasiasa wanawatukana wataalamu ikiwemo waandishi kama alivyofanya Mwakyembe.
 
Tumefarijika sana na ujio wa gazeti hilo,lakini kubwa zaidi ni kuwa gazeti hilo litapatikana katika mtandao ambapo sisi watanzania tuliopo nje ya nchi itakukuwa faida kwetu kujua mambo mengi yanayojiri huko, tunawashukuru waandaaji na mungu awape taufiki ya kutekeleza azma yao hiyo kwa manufaa ya taifa
 
NATAKA KULIA kaka yangu Jenerali Ulimwengu yalimfika wale watu wabaya wawili wenye Tamaa. Gideon Shoo na Salva Rweyemamu waliuza hisa zao kwa ROSTAM aziz BILA taarifa kufumba na kufumbua akajikuta ana ubia na Adui yake!Uraia alirudishiwa baada ya Marehemu Nyerere KUMKEMEA mkapa. Ile Bif ilianzia kwa mzee aliyekuwa Bosi wa USALAMA wa TAIFA ENZI za Nyerere YULE mNYALUKOLO aliwahi kuwa balozi mkewe akala pesa za matibabu kule CANADA ilimgharimu Uwaziri nimesahau jina lake....Hassy Kitine juzi tu alitema cheche watu wakamshiti ila walichosahau ni kwamba Ngombe hazeeki maini au simba akilowa haitwi mbwa! Mkapa aliwasaidia pamoja na watu wa
usalama wa TAIFA ikabidi nae auze hisa zilizobakia ameanzisha RAIA MWEMA . Tunajua siku hizi Salva yuko gado anampelekea Rostam habari kila baada ya nusu saa sijui Mangi Shoo kaishia wapi? Mipesa imempofua hata hawezi tena kuandika kawa kipofu nini?Niwape siri nimeapa stanunua wala kusoma Magazeti ya New Habari Corporation hata yakidondoka sisomi naomba mniunge mkono tufanye hivyo kwa magazeti yote ya mafisadi
 
Mabula,
mi nlijitoa vodacom zamani sana,
haiwezekani jasho jingi ninalolitiririsha kwa ujira mdogo sana nigawane na rostam aziz....
Magazeti ya habari corporation niliacha kuyasoma siku nyingi sana.
Kuna uvumi nimeusikia,
eti ni kweli zito kanunuliwa na muiran??
 
nataka kulia kaka yangu jenerali ulimwengu yalimfika wale watu wabaya wawili wenye tamaa. Gideon shoo na salva rweyemamu waliuza hisa zao kwa rostam aziz bila taarifa kufumba na kufumbua akajikuta ana ubia na adui yake!uraia alirudishiwa baada ya marehemu nyerere kumkemea mkapa. Ile bif ilianzia kwa mzee aliyekuwa bosi wa usalama wa taifa enzi za nyerere yule mnyalukolo aliwahi kuwa balozi mkewe akala pesa za matibabu kule canada ilimgharimu uwaziri nimesahau jina lake....hassy kitine juzi tu alitema cheche watu wakamshiti ila walichosahau ni kwamba ngombe hazeeki maini au simba akilowa haitwi mbwa! Mkapa aliwasaidia pamoja na watu wa
usalama wa taifa ikabidi nae auze hisa zilizobakia ameanzisha raia mwema . Tunajua siku hizi salva yuko gado anampelekea rostam habari kila baada ya nusu saa sijui mangi shoo kaishia wapi? Mipesa imempofua hata hawezi tena kuandika kawa kipofu nini?niwape siri nimeapa stanunua wala kusoma magazeti ya new habari corporation hata yakidondoka sisomi naomba mniunge mkono tufanye hivyo kwa magazeti yote ya mafisadi

unasoma magazeti gani sasa???
 
Back
Top Bottom