Jenerali Ulimwengu anamtumikia nani?

Jenerali Ulimwengu anamtumikia nani?

siamin km generalli anapamba mafisad maana ndio mwandishi pekee anaewapinga mafisad.
 
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Huyu jamaa hana lolote ni tapeli mmoja kwa sasa kaishiwa pesa ndio maana anajufanya kupiga kelele

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
0Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi

Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Anawapamba mafisadi si kwa ajili wanataka kumuua .
 
Mpeni_taarifa_Job_Ndugai_kwamba_kushoto_mwa_picha_hii_ni_Jenerali_Ulimwemgu_akiwa_na_Hayati_Mu...jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hehehe, jamaa uliuliza swali hili enzi zile haujapata chakula kwenye meza kuu, hivi sasa tukikuuliza hili swali kuhusu Ulimwengu utajibu tofauti sana bwana Prof. Haya endeleeni kutuhadaa
 
Chuma, halafu kuna nyingine alikuwa na Samora Machel. Huyu jamaa nahisi alikuwa mafia wa hatari sana enzi ya Nyerere
Kuna kikosi kazi kisha kuna kikosi kazi maalum.

Huyu alikuwa kwenye kikosi kazi maalum.
 
Jenerali yuko overrated tu hana lolote la ajabu. Wakati wa JPM miaka yote 5 aliufyata kama mjinga kwa vile alijua yule kichaa Mwendazake anaweza mpoteza. Sasa ameanza chokochoko kipindi cha Mama ili aonekane kuwa naye yupo.
 
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Mafisadi wote wako çcm kuanzi ikulu mpaka chini
 
Jf ya muda sana kumbe!? 2009 ndo namaliza form 4.Anyway kumjadili aliyejuu yako naona ni kupoteza muda tu
 
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Fafanua,
 
Wakati wa jiwe angezumgumza kupitia chombo gani?
Jenerali yuko overrated tu hana lolote la ajabu. Wakati wa JPM miaka yote 5 aliufyata kama mjinga kwa vile alijua yule kichaa Mwendazake anaweza mpoteza. Sasa ameanza chokochoko kipindi cha Mama ili aonekane kuwa naye yupo.
 
Jenerali yuko overrated tu hana lolote la ajabu. Wakati wa JPM miaka yote 5 aliufyata kama mjinga kwa vile alijua yule kichaa Mwendazake anaweza mpoteza. Sasa ameanza chokochoko kipindi cha Mama ili aonekane kuwa naye yupo.
Hicho kichwa endelea tu kufugia nywele maana hakina matumizi mengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom