Jenerali Ulimwengu anamtumikia nani?

Sina imani naye hata kidogo tokea gazeti lake la Rai kwenye kampeni ya 2005 limchafue Salim na kumpamba JK na wengi walioshiriki walibarikiwa kupewa vyeo!! sio bure na siku hizi gazeti lake hili Raia limebadilika siyo lile la mwanzoni yetu macho!!!
Nadhani wakati huo lilishamilikiwa na mtu mwingine ( New habari )
 
Nadhani wakati huo lilishamilikiwa na mtu mwingine ( New habari )
Lilikwishanunuliwa na Rostam Aziz na manager wa habari corporation ambayo ilikuwa mmiliki wake alikuwa ni Hussen Bashe,ambaye ni waziri kwa sasa.
 
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Wewe nawe huna tu akili kichwani. Unataka kila mtu aseme au aandike unayoyapenda wewe
 
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Anatumikia TUMBO LAKE no more no less! Na hii ni kitu cha kawaida kwa "Watanzania wanaopata au kupewa URAIA BY DEFAULT". Najua mnajua ninachosema!
 
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Vijana kuweni wadadisi ndio mtaweza muelewa twaha khalfan ulimwengu. Asili yake ni mtutsi mkimbizi toka rwanda. Ni mtu naweza sema amekua na ndoto ya kuiongoza tanzania siku moja. Tumeona watutsi toka rwanda wakiongoza uganda na congo kwa namna ya hila na ushirikiano wao wa kimbari.
Generali ulimwengu alianza siasa kama kijana mwanamapinduzi mjamaa mfuasi wa tanu na nyerere. Ila baada ya ndoto zake kuuliwa amekua mwiba kwa uongozi wa tanzania. Siku hizi mwanamapinduzi wa kijamaa yeyote kwake ni dikteta.
 
Enzi hizo jamii forum hakuna mataga, mlikuwa mnaupiga mwingi sana. Kila mchabgo uneenda shule balaaa, dah! Hongereni wahenga. Japo nilikuwa nishajiunga jamii forum kwa jina jingine lkn sikuweza kuchangia makubwa haya
 
Enzi hizo jf ikiwa haijajaza mabavicha ya kina mmawia!

Ukisoma michango ya wadau kule juu hadi raha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom