Jenerali Ulimwengu anamtumikia nani?

behind every successful man there is a woman. Je huyu bwana ana mke? Jina lake nani na anakaa wapi? namuona jamaa kama yuko single hivi.

yule wife wa kwanza najua waliachana alikuwa Radio Tanzania Anaitwa Maria ulimwengu.
 
Mimi si msemaji wake, lakini as far as i know, Jenerali ana mke na ana watoto, Kwa sasa mama anafanyakazi na kuishi A. Kusini, na Jenerali mara nyingi huwatembelea huko.
 
Sina imani naye hata kidogo tokea gazeti lake la Rai kwenye kampeni ya 2005 limchafue Salim na kumpamba JK na wengi walioshiriki walibarikiwa kupewa vyeo!! sio bure na siku hizi gazeti lake hili Raia limebadilika siyo lile la mwanzoni yetu macho!!!

Hilo la kumchafua Salim 2005 lilikuwa Rai la Ulimwengu au la Rostam Aziz?
 
behind every successful man there is a woman. Je huyu bwana ana mke? Jina lake nani na anakaa wapi? namuona jamaa kama yuko single hivi.

yule wife wa kwanza najua waliachana alikuwa Radio Tanzania Anaitwa Maria ulimwengu.

Unayoyasema ni kweli kwani mwana mama huyo ni mama wakujiamini na mzalendo kwa nchi yake. Nashukuru kwa moyo wake wa kupenda kukuza vipaji kwani mchango wake katika carrier yangu ni significant. So ndege wanaofanana huruka pamoja hivyo its true behind him there is one strong lady, confident and determined.
 
Kila linapoletwa jina hapa ni vizuri kuzingatia vitu vichache na vya msingi, kama vile
1. Huyo ni nani
2.Nini msimamo wake katika ujenzi wa taifa hili
3. Nini mchango wake katika utaifa wetu
4.Itatusidia nini kama wana jamii kumjadili kwa kina.
5. Unachoandika kina ukweli wa kutosha?
6. Huna chuki au hasira binafsi kutokana na kufahamiana kwenu?

KAMA HATUTAZINGATIA HAYO, HII FORUM ITAGEUKA KUWA ZE UTAMU. Sehemu ya kudamage personality za watu. Mfano. Mtu kama salva au mkapa (kama wapo humu) hawawezi kumwongelea vizuri Jenerali. Mfano, Swala la ana mke linahusika vipi hapa? tukienda huko ndiyo tutaanza kupost picha za wapenzi wake hapa, je? hapa ni mahali pake? Nawaomba tuwe waangalifu na hayo wana jf
 
Nakubaliana nawe mkuu, otherwise watu wataanza kuulizia DINI yake, KABILA lake na mengine kama hayo yasiyo na tija kwa taifa, na wasiulize wala kujali vitu muhimu kama UTENDAJI na UADILIFU wa mtu husika.
 
Jenerali ni mwandishi wa habari. Anaandika kuhusu mambo yanayotokea,siyo mambo ambayo anataka yatokee.
Hata kama hana ajenda ya kuwapamba mafisadi,gazeti linaendeshwa kibiashara,kwa hiyo labda unaweza kuona 'mafisadi' wamepambwa.
Kwa huwapendi mafisadi,waondoe madarakani na Jenerali ataandika[kwamba mafisadi hawapo tena].
 
Mimi nadhani kuna mambo mawiri; maisha na ukweli sasa kama ukweli unakuharibia maisha unajaribu kuukimbiya. Lakini kama unawapamba mafisadi mimi naona ni bora kukaa kimya kama unahofu maisha yako, kuliko kuwatukuza.

hapo kwa kichaga ni ndizi mbivu za kutengenezea mbege!
 
Nakubaliana nawe kwa sehemu kubwa. Dhambi ya kumbagua Salim kama ilifanywa na Jenerali anastahili kulaumiwa (kulaaniwa kama asemavyo Seleli). Lakini nakumbuka kilichofanywa na Rai wakati ule ni kumbeba JK. Aliyefanya hivyo ni Salva na wote tumeona. Sasa hivi salva na Jenerali hawaivi.

Dhambi ya kumbagua Salim ingali inaitafuna serikali ya JK. Patachimbika mpaka watubu hiyo dhambi.

Sasa kuhusu Raia Mwema kubadilika, naomba kutofautiana kidogo. Hili ni gazeti ambalo mpaka sasa limebaki bila harufu ya itikadi wala kutumwa na mwanasiasa yeyote. Aliye na data tofauti na msimamo huu, amwage tuone.

Saliva kwa kumbeba JK faster akateuliwa kuwa msemaji wa ikulu chini ya jk, Ulimwengu alivoona NHC (new Habari Corporation) imenunuliwa na mafisafi kina ROSTAM AZIZ akaamua kujiengu na kuanzisha gazetti la RAIA MWEMA
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom