Usishangae sana. Hao makamanda wa Ki Sauzi, Zimbabwe, Namibia wanakipiga sana kiswahili. Wengi walipata mafunzo ya kijeshi Tanzania kuliko kuwa na ma kampu ya kutoa mafunzo ya kijeshi kama vile Mazimbu, Kongwa, Mbeya miaka ile ya mwanzoni mwa 1970 mpaka mwanzo mwa 1990. Wengi walirudi kwao mara baada ya uhuru na washika madaraka katika sehemu mbalimbali hususan majeshini, serikali au kwenye taasisi ya ANC.
Halafu utashangaa kwani wengi sana walizaa na madada wa Kibongo miaka hiyo ya 70's-90's. Lakini unakuta wako kwenye dilema jinsi gani ya ku track watoto wao, basi maswali yankuwa mengi. Wengi wao ni watu wazuri sana. Wakikujua wewe mbongo ni marafiki wazuri na watu wa utani saa ya yote (tena kwa kiswahili). Sema taaabu yao ni watu wa kuendekeza sana ulabu na mabibi mno jumatatu mpaka jumapili Hivyo ukiwa ndio mshikaji wao inabidi wakati mwingine uwakimbie