Jenerali 'Msauzi' Azungumza Kiswahili Msiba wa Mandela!

Usishangae sana. Hao makamanda wa Ki Sauzi, Zimbabwe, Namibia wanakipiga sana kiswahili. Wengi walipata mafunzo ya kijeshi Tanzania kuliko kuwa na ma kampu ya kutoa mafunzo ya kijeshi kama vile Mazimbu, Kongwa, Mbeya miaka ile ya mwanzoni mwa 1970 mpaka mwanzo mwa 1990. Wengi walirudi kwao mara baada ya uhuru na washika madaraka katika sehemu mbalimbali hususan majeshini, serikali au kwenye taasisi ya ANC.

Halafu utashangaa kwani wengi sana walizaa na madada wa Kibongo miaka hiyo ya 70's-90's. Lakini unakuta wako kwenye dilema jinsi gani ya ku track watoto wao, basi maswali yankuwa mengi. Wengi wao ni watu wazuri sana. Wakikujua wewe mbongo ni marafiki wazuri na watu wa utani saa ya yote (tena kwa kiswahili). Sema taaabu yao ni watu wa kuendekeza sana ulabu na mabibi mno jumatatu mpaka jumapili:) Hivyo ukiwa ndio mshikaji wao inabidi wakati mwingine uwakimbie:)
 
Nilishakutana na Balozi wa SA anaongea Kiswahili na tukaongea naye. Mwisho nikamwuuliza kama ni MAZIMBU....

Yeye akanijubu kwa furaha kabisa "KONGWA" na hapo nikajua alikuwa Mpiganaji.

Mazimbu walikuwa wakiishi Watoto na Wanawake au vilema. Vijana wa kazi walikuwa kambi nyingine kabisa.

Huyu General kwa vyovyote vile hakuwa Mazimbu. Ndiyo maana hata Sokoine alifia Kongwa na ikaleta maswali mengi sana kuwa huyu Mpigania uhuru si alikuwa aishie Morogoro Mazimbu, sasa huku Kongwa alikuwa anafanya nini? Aliyegonga gari la Sokoine, ndiyo DUBE wa kwanza kufahamika Tanzania kwa jina la Dubisan. Mwisho ndiyo akaingia Lucky Dube.

Ulimolaaa?Panga kaya?....makopa na nyanya ntole zipo?....hebu tuwekee kumbukumbu sawa..alifia Kongwa au pale Dakawa,ambapo panaitwa Dakawa -Sokoine??Jirani na Wami-Dakawa?....#TeamWekaPicha #
 
Kuna msauzi mmoja alikaa Tanzania mwaka mmoja,anazungumza kiswahili cha kiuni kweli,anasema 'mimi mtoto wa Manzese wewe wa Upanga utaniambia nini?'.Kiukweli hata Dar hajawai kufika.
 
Kituko kilitokea Kenya baada ya JK kuhutubia kwa Kiswahili kwenye sherehe zao za Uhuru lakini wakenya wakadai jamaa kaongea KISWAHILI KIGUMU sana ilhali aliongea Kiswahili cha kawaida sana
 
Nilishakutana na Balozi wa SA anaongea Kiswahili na tukaongea naye. Mwisho nikamwuuliza kama ni MAZIMBU....

Yeye akanijubu kwa furaha kabisa "KONGWA" na hapo nikajua alikuwa Mpiganaji.

Mazimbu walikuwa wakiishi Watoto na Wanawake au vilema. Vijana wa kazi walikuwa kambi nyingine kabisa.

Huyu General kwa vyovyote vile hakuwa Mazimbu. Ndiyo maana hata Sokoine alifia Kongwa na ikaleta maswali mengi sana kuwa huyu Mpigania uhuru si alikuwa aishie Morogoro Mazimbu, sasa huku Kongwa alikuwa anafanya nini? Aliyegonga gari la Sokoine, ndiyo DUBE wa kwanza kufahamika Tanzania kwa jina la Dubisan. Mwisho ndiyo akaingia Lucky Dube.

Ndugu samahani kama hutajali,hebu nielezee khs sokoine kufia Kongwa na huyo Dube ndo nani?plz
 
Usishangae sana. Hao makamanda wa Ki Sauzi, Zimbabwe, Namibia wanakipiga sana kiswahili. Wengi walipata mafunzo ya kijeshi Tanzania kuliko kuwa na ma kampu ya kutoa mafunzo ya kijeshi kama vile Mazimbu, Kongwa, Mbeya miaka ile ya mwanzoni mwa 1970 mpaka mwanzo mwa 1990. Wengi walirudi kwao mara baada ya uhuru na washika
And the Zimbabwean freedom fighters fell in love with Swahili music (Zilipendwa) Chuki Ya Nini... is it by Mwinshehe? ...is still topping music charts in Harare. They still play most of our Zilipendwa songs even the young generation
 
Hili si jambo la kushangaza sana hasa kwa mtu ambaye anafuatilia historia ya watu hawa! Nasema hivyo kutokana na ukweli kuwa wengi wao ni watoto ambao wamezaliwa humu kwetu ama wengine ni watu ambao wamekaa muda mrefu mno.

Lakini ni jambo la kujivunia pia kuona kuwa kiswahili kinakuwa ni lugha ambayo inasambaa kwa kasi ya ajabu kuto duniani.

ALALE PEMA MADIBA.
 
Staff karibu wote wa ubalozi wa namibia nchini india wanaongea kiswahili hili nimelishuhudia mwenyewe
 
Usishangae sana. Hao makamanda wa Ki Sauzi, Zimbabwe, Namibia wanakipiga sana kiswahili. Wengi walipata mafunzo ya kijeshi Tanzania kuliko kuwa na ma kampu ya kutoa mafunzo ya kijeshi kama vile Mazimbu, Kongwa, Mbeya miaka ile ya mwanzoni mwa 1970 mpaka mwanzo mwa 1990. Wengi walirudi kwao mara baada ya uhuru na washika

And the Zimbabwean liberation fighters fell in love with Swahili music (Zilipendwa) Chuki Ya Nini... is it by Mwinshehe? ...is still topping music charts in Harare. They still play most of our Zilipendwa songs even the young generation

Ni kweli wanaupenda sana huo wimbo. Na hata wale wasioelewa maana au maudhui ya mitiririko ya tungo nao huuimba kwa madaha na ufasaha kama vile 'wanakimanya' kiswahili:).

Kibao chenyewe kinaitwa 'Sina Makosa'. In fact huo wimbo uliimbwa na kundi la Simba wa Nyika (Tanzanian band which used to be based in Nairobi, Kenya). Nikiwataja tu baadhi ya wanamuziki washiriki kwenye kundi hilo walikuwa ni the Kinyonga's brothers ambao pia walikuwa founders of the group; George and Peter Kinyonga, John Ngereza, Prof Omar Shabani na Twahir Mohamed. Wote hao niliwataja kwa sasa ni marehemu.

Chorus zake; Gonga linki chini usikilize;
Sina Makosa - Les Wanyika - YouTube

Hiki ni kibao kilitamba sana toka ilipotoka mnamo miaka 1978/79 mpaka leo hii. Kikipigwa kwenye shughuli nzito basi viti vinakuwa 'watazamaji' tu:). Na miaka hiyo shughuli za ukombozi nchi za kusini mwa Afrika (yaani vyama vya liberation movements) zikiwa zimepamba moto na Tanzania kukiwa makazi ya wapigania uhuru wa nchi nyingi za kusini.

Kibao kingine wanakipenda ni ule wimbo wa Mbaraka Mwinshehe - al maarufu kama "Shida"

Shida - Mbaraka Mwinshehe Mwaruka - YouTube
 
Wow, you have said it all! Thanks
 
Kashishi umenikumbusha nyumbani kwa shemejio bonde(Tanga) na hako ka msamiati kako "wanakimanya" jamani teh teh!
 
Last edited by a moderator:
the issue here is whether you still have a space in your brain cubicle to think a little bit more, SA has not helped any African state to confront their poor economic situations including TZ which was dearly close and still stands on their side come rain or sun when it comes to political opinions.
 
Wawa saidie vipi tena? Wamewapa access ya kuingia kwao bila Visa mnachofanya sasa ni kupeleka Madawa tu na kuharibu vIjana wao.
Lakini mkuu, kwa suala la Visa, kilichofanyika ni RECIPROCAL, maana yake ni kwamba hata wao wanaingia kwetu bila visa! Labda niseme kwamba, wa South Africa walipaswa wazienzi fadhira za wa Tanzania katika upatikanaji wa uhuru wa watu weusi nchini humo, ikumbukwe kwamba Tanzania ilijitolea kwa hali na mali kuwaandaa wapigania uhuru wa Afrika ya Kusini katika maeneo mbali mbali ya Tanzania, ikihusisha mikoa ya Morogoro (Kilipo Chuo Kikuu Cha Kilimo- SUA) na Dodoma ambapo kodi na raslimali zetu zilitumika bila malipo yoyote.Hivyo basi, ki-uungwana hawa jamaa walipaswa watushike mkono pale tulipoteleza kiuchumi, achilia mbali kwamba viongozi wetu nao wanachangia kwa kiasi kikubwa katika mtelezo wetu kiuchumi (rejea mabilioni ya dola yanayosemekana wameyaficha huko uswisi na kwingineko).Lakini pia tusiwalaumu saaaaana, inawezekana pia kama alivyosema mchangiaji mada hapo juu, huenda ni kweli kwamba uchumi wa Afrika ya Kusini bado uko mikononi mwa watu weupe!Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom