Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Hivi ile kwaya iliyokuwa ikichezwa background RFA wakati wa kipindi chake, unaitwaje ule wimbo? naupenda mnooo. Nilikuwaga nafurahia pale tu unapoanza kusikika. Nilishautafuta ule wimbo bila mafanikio, nadhani ni wimbo wa AIC kwaya.

-Kaveli-
Kaveli uliupata huu wimbo?
 
nakumbuka nilikua nafuatilia channel ten nafikiri, alitoa tiba ya mafua kwa kutumia kitunguu swaumu, nilijaribu kweli kuchukua kitunguu swaumu nikakitwanga na kupaka kwenye nyayo za miguu, nilipo amka ahsubuhi pua zilikua nyeupe. sijui yukowapi sikuizi huyu jamaa.
Naomba unielekeze vizuri tafadhali
 
unachukua kitunguu swaumu unavitwanga alafu kabla hujalala usiku, unanawisha nyayo za miguu ziwe safi, unapaka kitunguu swaumu kwenye nyayo za miguu, itabidi uangalie pozi gani utalala ili usichafue kitanda, unaacha hivo hivo mpaka ahsubuhi.
Asante sana mkuu
 
Zile tiba ni kweli ila kwa kuzuia magonjwa zaidi. Ukishasubiri hadi hali iwe tete lazima umuite tapeli. Halafu kipo kitabu cha kutib u zaidi ya magonjwa 500 ukikipata hicho hutakanyaga kwa ndodi
 
Tangu nifuate ushauri wake ni miaka minne sasa siijui dawa ya malaria.Kabla nilikuwa nakunywa dawa hizi kila baada ya miezi miwili.Ilikuwa ni lazima uugue malaria
100% ni utapeli. Na ni kawaida sana ya tapeli kuwa na lugha nzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom