Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Ila jamaa alikuwa vizuri na dawa zake zilikuwa nzuri, tatizo ni gharama.
 
Zile tiba ni kweli ila kwa kuzuia magonjwa zaidi. Ukishasubiri hadi hali iwe tete lazima umuite tapeli. Halafu kipo kitabu cha kutib u zaidi ya magonjwa 500 ukikipata hicho hutakanyaga kwa ndodi
Kinaitwaje hicho kitabu.


#MaendeleoHayanaChama
 
Huyu jamaa namkubari sana ila ninamiaka simsikii radio free Africa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom