Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Na tumeliwa kweli.
Ndodi kuanzia siku ya kwanza nilihisi ni tapeli maana alivokuwa akielezea vyakula almost Kila mtz alikuwa anakula sumu,halaf na lile tabasamu lake la kitapeli na alipoanza kuuza vyakula vyake nikajua ndo kabisaaaa Kuna watu wanaumizwa,Mara nikasikia na yy anakanisa nikajua baaaasi ,Ila kugundua tobo la kuwapiga watanzania raha Sana,mi mwnnyewe nipo nafanya utafiti kuna siku nitaibuka na kitu changu niwalize mnitafute kama hivi
 
Mkuu tuone huruma wenzako,Vyuma vikaze,na wewe ututapeli,tutatoboa kweli???.
 
Haya ni Mambo ya kitaalamu ndugu, usiongee ki layman
 
Yupo wapi now?
Dr.Ndodi yupo ninamsikiliza Mara kwa Mara Radio Uhuru kuanzia saa nne usiku karibu kila siku, hata hivyo kwa sasa amehama mwembe chai Magomeni,yupo sehemu moja maarufu kama kwa Ndodi ukipanda daladala za segerea-mbezi uliza stendi ya Kwa Ndodi yawezekana hapo in kwake
 
Hahah jamaa mswahili sana yule.

Anakwambia kwny tendo mwanamke ni kama chungu kinachelewa kupata moto na kinachelewa kupoa huku mwanaume ni kama sufuria linawahi kupata moto na linawahi kupoa.
dah nimeishi kuchunguza haka kamsemo kake nlisikia akikasema pale RFA miaka hiyo ila aliku na majina yule mtu utasikia kina zimudwangi
 
Hafu Hawa kina Dr ndondi waliibuka enzi za kina Jakaya, Mara Dr Rahabu, Mara Dr. Mwaka Yani mtu anajiita Dr na hajaenda kusoma bachelor ya medicine Muhimbili na serikali Ina mchekea tu.

Kama mwenye kaya alipewa u professa wa wachina unategemea nini
 

Hahaha...
 
Nakumbuka miaka ya kumi iliyopita huyu jamaa alikuwa anatangaza Sana Tiba mbadala. Maana alikuwa na swaga sio za nchi hii?
Kwa sasa sijui yuko wapi lakini from 2015 to 2020 alikuwa diwani wa kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro na alitumia pesa nyingi sana kupata udiwani na lengo lake kubwa ilikuwa ni kuwa Mayor lakini hakufanikiwa baada ya kuwa diwani hakupata yale aliyoyategemea na kupelekea kufulia sana kiuchumi, kituo chake cha tiba kilichokuwa kihonda magorofani kikapoteza muelekeo kwa kukosa wateja hivyo akaanza kuuza hadi magari yake na hata kuwatumikia wananchi wake alishindwa na kukimbilia dar hadi sasa. Maisha yanabadilika jamani huwezi kuamini ni yule Ndodi aliyekuwa anazunguka mikoani na watu wanamsubiri foleni ya hatari hadi kumuona alipiga pesa balaa
 
Yale yale ya Mayai ya Kware
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…