Human animal is sick,
I am no longer driven by mob anymore, I create mob,
Carl Jung ni mkosoaji wa Sigmund Freud na pia ni Nietzschean, na huyo shoga pia ni Nietzschean, na mawazo yake mengi pia ni copy and paste ya ideas za Nietzsche
Watu pekee ambao ninaweza nikapoteza muda wangu kwasasa kuwasoma ni Nietzsche na Dostoevsky,
This generation will never understand what I say, labda vitukuu vyao, ndivyo tulivyo...
Siku ukiachana na mob pamoja na kuvuta pumzi ya so called idols, tutazungumza...
Hakuna namna umenidhihaki,
I am not man, I am beyond man,
Eti "I'm not a Man, I'm beyond a Man".
Anyway uko sahihi kulingana na unavyolitafsiri neno "man" and siwezi kukujudge kwahilo.
Na Kuhusu ushoga wa mhusika uliyemhukumu "sijadili tabia za watu, mimi najadili hoja tu".
Na kuhusu kumuelewa Nietzsche uko sahihi that's why unajiita “God is dead,” si ndiyo?
Lakini kumbuka Dostoevsky alizingua vitu vingi tu ikiwemo kudai kwamba ni Mungu tu ndiye anayezuia mwanadamu kugeuka mnyama which is not true.
Logically Mtu mwenyewe akidisconnect mwili, akili na roho ndiyo anageuka kuwa mnyama na wala siyo kutokana na other forces from nowhere.
Halafu unapowaweka hawa wawili pamoja, hoja zako hazitakiwi kuwa za majivuno, zinatakakiwa zionyeshe kweli umewaelewa.
Sema unavyojivunia sasa kwamba wewe ni super human, ni kama vile una perform Olympian level ego theater.
Ubaya zaidi kipimo cha “superhuman” kwa upande wangu ni kimoja tu kile Einstein alisema "uwezo wa kubadilika".
Kama unauwezo wa kubadilisha mazingira yako, mifumo yako, kudhiibiti mwili wako like monks na kukuza teknolojia kwa kiwango kikubwa like Elon then uko juu ya wastani yaani "Super human", if you're not bhasi unapiga porojo tu hapa.
Unapozungumza sana saana kuhusu “mob,” bado unabaki kuwa mob tu (Sigmund's).
Yaani wala hata huhitaji kujieleza kwamba hufuati mob, ningeisense tu kwenye maandishi yako, you sound like "Joseph Mrindoko" mchokonozi.
By the way, sijaona hoja ya msingi kutoka kwako zaidi ya ego tupu.
Kwa sasa niko out mpaka ulete hoja yenye mashiko.
Ibn Unuq