Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,845
- 27,270
Kwa sababu hayupo na hata uthibitisho wa uwepo wake haupo.Kwa nn?
Ukibisha thibitisha Yesu yupo, na si hadithi za vitabuni tu.
Kwa sababu hayupo na hata uthibitisho wa uwepo wake haupo.Kwa nn?
Upo tayar kupata uthibitisho?Kwa sababu hayupo na hata uthibitisho wa uwepo wake haupo.
Ukibisha thibitisha Yesu yupo, na si hadithi za vitabuni tu.
Hata huyo Mungu lazima awe na mwanzo.Nilishawahi kujiuliza hilo Swali
Ss tumezoea kitu kiwe na mwanzo au mwisho
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu kabla ya kusema yeye ndio muumbaji.Mungu aliumba Muda
Na yeye ndio muanzilishi
Kwa akili za binadamu tutaka aliyemuumba ni nani
Akati yeye ndio Beginner na akaumba Muda
Mbingu haipo.Jiulize kwa nn Kuna umilele mbinguni?
Hapa duniani kuna mwisho
Ila sio Mbinguni
Ulete.Upo tayar kupata uthibitisho?
Nimekuonea huruma hadi nimetaka kuliaJesus is a fictional character.
Jesus never existed.
Jesus doesn't exist.
Yesu hajawahi kuwepo na hayupo.
Sihitaji huruma yako.Nimekuonea huruma hadi nimetaka kulia
AiseeNimekuonea huruma hadi nimetaka kulia
NdioYesu ni Mungu
NdioJe kilichomzamisha ni hofu
Maswali ya kishamba sana na ya kizamani mnooouliumbwa na nani?
Fiction storyAliyemuumba Adam na Hawa ni nani?
Well saidKwanza, Adamu na Hawa ni fictional characters.
Adamu na Hawa wana exist kwenye hekaya za Biblia tu.
Adamu na Hawa ni fictional characters sawa na Abunuwasi anaye exist kwenye hekaya zake.
Pili, Ukianza kuweka ulazima wa muumbaji kwenye ulimwengu, unatengeneza msururu mrefu wa waumbaji wengi wasio na mwisho.
Maana kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na muumbaji, Hata huyo muumbaji wa kila kitu hawezi kuwepo tu from nowhere, pasipo muumbaji. Huyo muumbaji na yeye mwenyewe atahitaji awe na muumbaji wake mwingine.
Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa waumbaji wengi wasio na mwisho. Endless.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muumbaji, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na muumbaji.
HamnaSo nikuulize swali siku ukikutana na binaadamu ambaye amefanyiwa cloning pia utamuuliza swali kama hili !?
From bibleFiction story
How do you believe Palikuwa na binaadamu na Hawa !? Which Evidence do you have !?
Wewe ndiye tunaye kuonea huruma uko Brain washed mna muamini mungu asiye kuwepoNimekuonea huruma hadi nimetaka kulia
🤣🤣🤣Sihitaji huruma yako.
Kawalilie ukoo wenu.
Sikujui, hunijui.