Mkuu nashindwa kuelewa kwanini unaiita vita.
Hiyo si vita, ni psychology ya binadamu.
Ukifanya kitu nje ya instincts zako unahisi guilty.
Kumbuka, kuna watu wanafanya mambo ambayo kwako si sahihi, lakini wao wakifanya wanafeel just fine, ila sasa kwakuwa wewe huumizwa ukifanya hivyo bhasi unafikiri hata wao pia huumia wanapofanya hivyo (Projection D.M).
Kila mtu hufanya kile ambacho roho yake (tabia, conditioning, personality) inamtuma. Hii inaundwa na malezi aliyolelewa (dini, siasa, elimu), watu waliomzunguka, taarifa anazopokea mara kwa mara na wakati mwingine ego tu.
Lakini pia mtu wa kwanza si Adam, na mwili si shetani, na Biblia si reference sahihi kwenye hoja za psychological structure.
Umedai watu wa dini walijaribu kuzungumzia three dimensions (mwili, akili, roho) katika muundo wa kiimani, lakini hapo umejikuta umechanganya myths na biology.
Wewe ni atheist kijana, unachanganya reason na faith, and to you reason makes sense while faith seems nonsense,
Huwezi kunielewa, and you miss a lot of subjects, focus on philosophy, theology, philology and literature, plus history kama bonus, kidogo tutaelewana..
Mwili una sifa ya kutoa maisha, na ndani ya haya maisha chochote kinaweza kuhifadhiwa Kwa sura na mfano wa mwili, mtu na Mungu ni wageni kwenye nyumba ya bwana sokwe,
Na siku ikatokea mwili ukakaribia kupoteza maisha, basi atatangulia mtu kuondoka, Kisha utafuata mwili,
Maisha hutoa nafasi ya chochote kuishi ndani yake, and most of those who understand this, including priests, they went on creating man so as to reside in apes palace.
Sisi wanyama tulichokuwa nacho ni silka tuu, na maisha yenyewe, ila fikra na mawazo yetu ni vitu ndani ya maisha,
Kuna vitu vinaelezeka Kwa kinywa ila haviandikiki, msamehe Mimi Bure, anasahau haraka sana maana ndivyo alivyojengwa, anaishi kama mtoto, asipoongea linakuja jambo lingine ambalo halimruhusu kukumbuka la awali,
Mtu ana sifa ya ubishi, kwakuwa ana ukaribu sababu, pamoja na Mimi,
Mtu anapenda ukweli, na akihisi anafahamu ya ukweli basi atamualika sababu na atakuja kama Mimi, yote ni kuonyesha kuwa amepata ukweli
Mtu anabadilika, ni Mimi ndio humchelewa kutokana na kujisikia tuu kwakuwa ana ukaribu na mnyama,
Sababu asikulaghai kuwa anafahamu ukweli, kwanza hakuzaliwa hapo anapoishi, kinachompa jeuri ni Kwakuwa mtu alimualika kama tabibu, baada ya Imani kudhohofika,
Na tangu afike amekuwa akimdanganya mtu kuwa hajawahi kuzingumza uongo, na mtu kinamweka sana Kwa sababu ni kivuli Cha Imani kinamsumbua, mpaka kupelekea kumuamini sababu